Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

na mama, bibi, shangazi na dada zako ndiyo wako top on the list.....
Wewe nae una mambo ya kiteenager kweli kweli. Sasa haya mambo ya kusema na .ama yako ni kuonyesha utoto tuu. Kwani hao sio wanawake kisa nina uhusiano nao wakindugu? Use ur common sense
 
Mkuu una umri gani?

Labda mwanamke wako ni wale wa miaka ya 1980 mpaka miaka ya 1990 mwishoni.

Wanawake wa kuanzia 2000+ ni LAANA...
 
Wanaume mnapataje huu ujasiri wa Kwenda Ukweni kukopwa mahali? Hapa Ndio wanawake wana wadharau bila nyinyi kujua.

Ni kheti umchukue hivyo hivyo bila mahali kuliko kumchukua kwa nusu bei.
 
Kama kichwa changu kina kumbu kumbu vizuri hii habari imeshawai tolewa humu na kuna vitu kidogo vime haririwa na kumbuka kuna kipande cha mshikaji kusaidiwa kukaa kwa rafiki geto! Hii story ipo humu tayari
Si kweli. Niliwahi kuandika kama comment kwenye uzi fulani kwa ufupi. Ndio nimeleta kisa chote. Sijajua ulimsoma nani
 
Nani huwa anawashauri muoe,afu nani alikwambia mke anasomeshwa??
 
Si nilisikiaga "ETI" mchumba hasomeshwi?au zilikuwa tu ni eti eti?
 
Katu Usisomeshe Mwanamke Au Usioe Mwanamke Msomi Utakuja Teseka Mwanamke Si Mwenzako Ananyenyekea Akiwa Hana.Wanaume Tumeumbiwa Kupenda Wanawake Kuliko Chochote Duniani Lakn Mwanamke Anapenda Pesa.Mwanaume Huchanganywa Akili Pale Anapoona Dem Mkal Kapita,mwanamke Huchanganywa Akili Anapoona Pochi
 
Wewe nae una mambo ya kiteenager kweli kweli. Sasa haya mambo ya kusema na .ama yako ni kuonyesha utoto tuu. Kwani hao sio wanawake kisa nina uhusiano nao wakindugu? Use ur common sense
I am doing exactly that - and using my commonsense. Wewe unaona sawa kama vile nyinyi wanaume ndiyo mumekuwa malaika kutoka mbinguni.
 
what a backward mentality! Haya basi waweke nyumbani watoto wako wa kike usiwasomeshe maana kwa mawazo yako hayo watakosa waume wa kuwaoa.
 
Wewe mjinga wezi wanasema muibe wewe unakataa. Wanaiba halafu wewe unakaa kimya na unahusishwa halafu unahonga usitiwe hatiani. Kiufupi ulihusika kwa kuwa ulijua kabla ya wizi na baada ya wizi.
 
I am doing exactly that - and using my commonsense. Wewe unaona sawa kama vile nyinyi wanaume ndiyo mumekuwa malaika kutoka mbinguni.
Sasa sii kweli sie tumetoka mbinguni na nyie mmetoka ubavuni mwetu
 
what a backward mentality! Haya basi waweke nyumbani watoto wako wa kike usiwasomeshe maana kwa mawazo yako hayo watakosa waume wa kuwaoa.
Ni inferiority complex zinasumbua wengi. Kupigwa tukio haijamisha kasoma au hajasoma. Ni tabia mbaya ya mtu tu.
 
Maisha ni safari Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…