Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Sawa wewe tajiri

Japo sijakuelewa
Hapana Mkuu Mimi nimekusudia kuwa tunabidi kuwa makini kupitia somo lako uoilotoa na Ushuhuda imenifikirisha Sana kuwa inawezekana vipi kijana Masikini akashindwa kuwa makini katika MAISHA na kuwekeza PESA na Muda wake katika wanawake na mwisho kuambulia maumivu katika moyo wake.
 
bila shaka unafanya kazi kwa mkandarasi.....Hao ukiwaibia na wakajua lazima wakutimue.
Ila pole sana mwamba hawa wanawake ni kuwa nao makini
 
Watu wengi kwenye mahusiano wanakosa unyenyekevu, utu na upendo. Kama una upendo , utu na unyenyekevu utamheshimu mtu yoyoye bila kuzingatia kipato chake, hali ya ulemavu n.k. ukiona mtu anafanya hayo kwa mume ,mke huyo alikuwa ameficha makucha yake.
 
Yaani huko ndo hakuna kabisa,sijui viongozi wa dini,sijui nini... yaani kwa kifupi uishi na mwanamke kwa tahahari kubwa huku ukiwekeza Zaid kwa ajili yako pekee.!
 
Pole.

Hukutaka kuwa mwizi ila ukawalinda wezi na ulioa mke anayependa pesa kuliko ndoa. Hili ndo lililokukuta na kukupa funzo. Hongera kwa kuvuka.
 
Kijana kataa ndoa
 
Daaah! Pole sana ndugu!
 
Nimekuelewa mkuu. Ila nachoshukuru nimejifunza kwa makosa yangu. Muda mwingine maneno matupu ya mafundisho hayawezi kutoa funzo sahihi ukilinganisha na mapitio halisi ya mtu kwenye changamoto husika
 
Kwenye maisha jitahidin kutengeneza rafiki yako mmoja genuine na sio marafiki wa hela zako. Pili. Amin humu Dunian uko peke yako so itakusaidia kuchukua tahadhari ya kila kitu. Life is full of experience bro. Pole.
 
Kwenye maisha Kuna machaguo au maamuzi hapo uliikuwa na maamuzi mawili

1 Kuficha uovu wa rafiki zako wakapona

2 Kuufichua uovu wa rafiki zako ukapona

Tatizo ulichukua uamuzi mbaya wa kuwaficha ukasahau wewe ni kiongozi wao matokeo yake ukatimuliwa pekeyako wenzio wakabaki

All in all ndyo maisha kaka huo ndyo ukubwa kuanguka na kusimama Tena.
 
Pole bro muda wote huwa tunatahadharishia kutomsomesha binti mliye naye kwenye mahusiano haina gurentee mwisho wa siku ni kuja kujinyonga.Anyway,tafuta dada aliyetulia uoe na sahau yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…