Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Sawa mtani 🤣🤣🤣😂
 
Hahahahahah mzee baba hio phrase ilikukong'oli kwelo kwelo kunako mtima 🤣
Acha kabisa...yaani i felt my heart ripped into pieces. Mtu mwenyewe mie kibamia nikasema nimepata mrembo amekikubali kibamia changu wacha na mie nimuhudumie vilivyo....loh siku nipo jobless corner aisee mbwaaa yule hana shukhrani ata kidogo. Kweli hayo maneno i will never forget untill the day i am six feet under... Yaani amefanya i hate women with a passion though i love their punani with passion too.

But yote kwa yote naamini one day yes na mie nitapata mwanamke mwenye hekima na busara tutapenda and tutakaa tukizeeka pamoja....never be discouraged.
 
Hee kazi kweli
Nyie tatizo u r soo selfish u only think for ur selves.
Kweli ni watamu and mgeongeza huo utamu wenu wa katikati ya mapaja na humility + kuwa na empathy the world would have been paradise
 
Nyie tatizo u r soo selfish u only think for ur selves.
Kweli ni watamu and mgeongeza huo utamu wenu wa katikati ya mapaja na humility + kuwa na empathy the world would have been paradise
Majority wako hivyo. Ila wapo wachache wenye unyenyekevu
 
Uzuri wako wewe unajielewa na unasemaga ukweli.
Alafu ebu njoo pm unipe ramani ya ule mjengo wako bwana na mie nimepata zali la mil50 hapa wacha nijenge kabla hawa mbwaaa hawajaanza kuzila hela zangu
Majority wako hivyo. Ila wapo wachache wenye unyenye
 
Uzuri wako wewe unajielewa na unasemaga ukweli.
Alafu ebu njoo pm unipe ramani ya ule mjengo wako bwana na mie nimepata zali la mil50 hapa wacha nijenge kabla hawa mbwaaa hawajaanza kuzila hela zangu
Hahaha, usijali. Ila ile ramani ninayo hardcopy,soft copy naona ilifutika kwanye simu yangu.
 
Nakazia mkuu. Awe makini sana, lakini pia mke hasomeshwi.
 
Subiri mke atarudi na utampokea tena kwa mikono miwili.
Pole ndugu..
Hahahahah [emoji2]

Yaani Kuna wanaume mafala sana.

Jamaa katemwa, kachanganywa akili ila demu atarudi na machozi jamaa atampokea na demu ataendelea kumwona jamaa fala sana.

Sisi wengine tukitemana kumrudia mtu ni kama kinyaa hivi.

Na ikitokea tukamrudi mtu jua Kuna unfinished business yaani kisasi.
 
Wengi tu wanafanya hivyo hata wanawake, na lazima tena kwa mara ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…