Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote
ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report
Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda mbali zaidi na kuniambia kuna kitu kwenye hii repoti
Mtazame vizuri utagundua!
View attachment 1747307
Anaitwa Grace Tendega ni miongoni mwa wale Covid 19 waliotimuliwa ChademaUso wa huyo Mama umebeba ujumbe mzito kuliko ripoti yenyewe ya CAG.
Hapo anafanya nini?Yupo hapo kama nani?Anaitwa Grace Tendega ni miongoni mwa wale Covid 19 waliotimuliwa Chadema
Nani anachafuliwa?Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Hasa wewe na familia yakoAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Aliapishwa na Ndugai na kukabidhiwa cheo kwenye kamati ya bungeHapo anafanya nini?Yupo hapo kama nani?
******** was totally devilAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Hawa ndo walizoea kuongopewa. hapo ni facts tupu zinatembea watu wanaona wanaonewaNani anachafuliwa?
Watu wanasoma ripoti za uchunguzi wewe umekazana 'watamchafua', kwa hiyo wasiyaseme waliyoyaona?
Duh..ila kiukweli jamaa katandaza barabara za lami hadi mlangoni,mitaro mikubwa hakika wana yombo na kiwalani tutamkumbuka jpm..Awamu ya JK kuwa ilifanya ufisadi fulani haihalalishi wala haizuu kuwa awamu ya Magufuli ilikuwa ni awamu ya ufisadi based on CAG report.Kwa kutumia ripoti ya CAG Magufuli alikuwa mwizi,fisadi,kiongozi mzembe sana na asiejali maslahi ya wananchi.
Utamkumbuka wewe na DC wa haiAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Sasa kufanya kazi yenye thamani labda tuseme ya billion moja halafu ukaitumia kama chaka la kuibia wanyonge billion tatu,sasa kazi kama hiyo ina faida gani?Sawa,ila tutamkumbuka kwa hilo,jamaa kafanya maajabu,watu wa kiwalani,yombo na buza wanaelewa hilo na bado kazi ilikuwa inaendelea sijui angemaliza muda wake huku kungekuwa kama nyuyoki aisee..alikuwa fisadi lakini kazi zake zinaonekana,sipendi unafiki!
Sasa ni heri yeye,je,wale waliokuwa wakiiba na hakuna kitu kinachofanyika!..anyway faida tunaijua sisi wakazi wa kiwalani, ulishawahi kuja kiwalani kabla ya hiyo miundombinu kujengwa!!!..mkuu we acha tu,wizi hauishi ila kitu kifanyikeSasa kufanya kazi yenye thamani labda tuseme ya billion moja halafu ukaitumia kama chaka la kuibia wanyonge billion tatu,sasa kazi kama hiyo ina faida gani?
Kitu kinachofanyika kama chaka la wizi hakitakiwi kufanyika!mkuu we acha tu,wizi hauishi ila kitu kifanyike
Sawa,ila alivyofanya jiwe sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya,naambiwa hapa si kiwalani, yombo,na buza tu kumbe hata huko mbagala mzee kafanya maajabu...aliwezaje kuiba na kufanya yote hayo!??..Kitu kinachofanyika kama chaka la wizi hakitakiwi kufanyika!
Propaganda bhana!Huko mbagala kafanya nini?🤣🤣🤣Sawa,ila alivyofanya jiwe sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya,naambiwa hapa si kiwalani, yombo,na buza tu kumbe hata huko mbagala mzee kafanya maajabu...aliwezaje kuiba na kufanya yote hayo!??..
Barabara hakujenga?!!.. nazungumzia miundombinu ya barabara na mitaro huko Kibada, Maji Matitu n.kPropaganda bhana!Huko mbagala kafanya nini?🤣🤣🤣