Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

Barabara hakujenga?!!..nazungumzia miundombinu ya barabara na mitaro huko kibada,maji matitu n.k
Sasa kama alifanya mambo makubwa kiasi hicho kwa nini msiache hayo mambo makubwa yamtangaze?Kwa nini mnakaukiwa koo kwa kumpigia debe badala ya kuacha hayo mambo makubwa yamtangaze?
 
Sawa,ila alivyofanya jiwe sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya
Kazi kafanya, hakuna anayekataa. Ila kukufanya yeye Mungu, msafi asie na chembe ya Ufisadi ndio ametukosea.

He was a thief just like others.. na yeye kwa roho mbaya alitaka kula pekeake na watu wake wa karibu
 
Sasa kama alifanya mambo makubwa kiasi hicho kwa nini msiache hayo mambo makubwa yamtangaze?Kwa nini mnakaukiwa koo kwa kumpigia debe badala ya kuacha hayo mambo makubwa yamtangaze?
Mbona yako wazi na kila mtu anajua!..nyie ndo mnatumia nguvu kubwa kumchafua..yaani utakuwa mnafiki kwa kweli kama huoni aliyoyafanya magu..nakuambia ndugu yangu,kazi ya magu inaonekana,na ndo maana tunashangaa tunapoyasikia haya tunayoyasikia..
 
Funguka mkuu tumechoka kuunga doti.
 
Mbona yako wazi na kila mtu anajua!..nyie ndo mnatumia nguvu kubwa kumchafua..yaani utakuwa mnafiki kwa kweli kama huoni aliyoyafanya magu..nakuambia ndugu yangu,kazi ya magu inaonekana,na ndo maana tunashangaa tunapoyasikia haya tunayoyasikia..
Siyo sisi tunamchafua bali ni ripoti ya CAG!Sisi ni nani hadi tumbishie CAG?🤣🤣🤣
 
Kazi kafanya, hakuna anayekataa. Ila kukufanya yeye Mungu, msafi asie na chembe ya Ufisadi ndio ametukosea.

He was a thief just like others.. na yeye kwa roho mbaya alitaka kula pekeake na watu wake wa karibu
Sawa naelewa..ila kazi yake inaonekana,na sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya kama aliyofanya jamaa,ndani ya miaka mitano kiwalani imebadilika jamaa, si utani..lami quality jamaa siyo ya kubahatisha,ndo maana tunaposikia haya maneno tunashangaaa
 
Watanzania Nani aliyeturoga hivi mtu anakutengenezea barabara au daraja la bilioni 10 halafu yeye kachukua bilioni 30 huyo mtu Yuko sawa kweli .Ndio maana magu aliviweka vyombo vya habari mfukoni ili afanye mambo yake alikuwa hataki kukosolewa Kama Jk ndio maana ya Jk yalijulikana .Kiufupi km riport ya CAG inavyoeleza ametupiga Sana ndio maana mzunguko wa pesa ulikuwa mgumu Sana .Mungu tu amrehemu kule aliko lakini ametufanyia vitu vya ajabu kweli.
 
Yaani kuna mazito zaidi CAG Ana yaruka ni mazito zaidi yani ni mabomu!
Adi Mama anaogopa ilikuwaje yaka fanyika
 
Nina kazia tumepigwa kweli kweli!
 
Kikwete alikuwa mwamba
 
Bullshit 😏
 
Tatizo mlichoaminishwa sivyo mambo yalivyokuwa kwa ground, sasa mnashindwa kukubaliana na ukweli. Tatizo mtu wenu hakutaka uwazi, angeutaka haya wala yasingekuwa mageni kwenu. Hivi mnajisahaulisha ya Assad au ndio mnajitoa ufahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This
Yaan ras sikua najua we ni ccm kindakindaki aisee..leo nilisema nitakuuliza..duh..inakuaje best unakuwa na mapenzi ya aina hiyo? Umeisikia report?
Team mzoga ndio imeleta michezo michafu...
we are going back to the babylon system (corrupt system)...
Mimi sio CCM mimi ni raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…