Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Kafa kibudu, ushirika wa mashetani haudumu, unaona maibilisi wenzake jinsi wanamgeuka sasa hivi?Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Sawa....Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Mtamkumbuka mlie nufaika nae sa mi naanze kumkubuka kwa lipi haaahaaa kumkumbuka hiyo kwinyooAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Utamkumbuka wewe na ukoo wako, Mimi kwanza hajawahi kuwa rais wangu mpk anaingia kaburini.
Hv wewe mbona kila nyuzi unang'ang'ana tutamkumbuka? Tutamkumbuka na nani? Kwann utumie umoja?[emoji57]
haipo na haitokaa itokeeAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Nilitaraji utauliza ana chura?Uso wa huyo Mama umebeba ujumbe mzito kuliko ripoti yenyewe ya CAG.
Mataga msimu wa embe umeisha mtakonda na kufa kwa njaaAtachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Sasa mkuu wewe Rami ya kiwalani ndo inakutoa akili hivo? Wale aliowaibia korosho zao asiwalipe unafikiri wanajisikiaje?Sawa naelewa..ila kazi yake inaonekana,na sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya kama aliyofanya jamaa,ndani ya miaka mitano kiwalani imebadilika jamaa, si utani..lami quality jamaa siyo ya kubahatisha,ndo maana tunaposikia haya maneno tunashangaaa
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!!??.. vijana,mimi nazungumzia Mimi nitakavyomkumbuka, kama mkazi wa kiwalani, habari za korosho mimi sizijui ndugu yangu, sina chochote ninachojua kuhusu korosho, nitahukumuje ndugu yangu?.. ninashukuru nilichokiona na kikanisaidia ndugu yangu, habari za korosho zinawahusu wakulima wa korosho, kupitia ile miundombinu mimi maisha yangu yamerahisika..mbona hatuelewani!Sasa mkuu wewe Rami ya kiwalani ndo inakutoa akili hivo? Wale aliowaibia korosho zao asiwalipe unafikiri wanajisikiaje?
Watu wanatumika kama madodoki,legacy ya JPM itabaki palepale .Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Hapo unafurahia hiyo miundo mbinu ya Ilo eneo inawezekana umepangisha.Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!!??..vijana,mimi nazungumzia Mimi nitakavyomkumbuka,kama mkazi wa kiwalani,habari za korosho mimi sizijui ndugu yangu,sina chochote ninachojua kuhusu korosho,nitahukumuje ndugu yangu?..ninashukuru nilichokiona na kikanisaidia ndugu yangu,habari za korosho zinawahusu wakulima wa korosho,kupitia ile miundombinu mimi maisha yangu yamerahisika..mbona hatuelewani!
Eti CAG anazungumzia foleni kwenye kituo cha Magufuli, seriously??!!!Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...
Ipo siku...
Kama ww mwenyewe hujasema umegundua nn unatupa sisi kazi wewe kama nani? Tulieni sindano ziwaingie mburula nyie mliozoea kudanganywa kama watotoMimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote
ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report
Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda mbali zaidi na kuniambia kuna kitu kwenye hii repoti
Mtazame vizuri utagundua!
View attachment 1747307
Ripoti ya Mwakyembe, milion 520 kila siku, RichmondAwamu ya JK kuwa ilifanya ufisadi fulani haihalalishi wala haizuu kuwa awamu ya Magufuli ilikuwa ni awamu ya ufisadi based on CAG report.Kwa kutumia ripoti ya CAG Magufuli alikuwa mwizi,fisadi,kiongozi mzembe sana na asiejali maslahi ya wananchi.
Nani kavunjiwa nyumba kiwalani?..barabara zote zilizojengwa zilikuwepo kabla,na hakuna barabara iliyopita sehemu ambapo kuna nyumba ya mtu..Hapo unafurahia hiyo miundo mbinu ya Ilo eneo inawezekana umepangisha.
Kuna waliolipa gharama ya kuvunjiwa nyumba zao na bwana yule bila malipo kwa ajili ya hizo miundo mbinu, wao wanalia we unafurahi.