Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji1787]we mpumbavu ndo unataka uoe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]we mpumbavu ndo unataka uoe??
Wewe fanya vile moyo wako unakutuma. Kuhusu pesa wanawake wengi tunaangalia kwanza pesa. Kazi kwako.kwamba nisimguse kabisa mkuu? ni mzuri huyoo kumuacha hv hv hadi roho inauma
DahSimple tuu ni hivi Unatumia hela zako kumfanya awe single mother alafu unapita hivi una mwacha apambane na hali yake.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
ASANTE kwa ushauriUlitoka kuwa mzee ukawa kijana,asa wanaume nao mnaenda mnapungua.
Ulimtongoza mwenyewe,we ndo ulishoboka naye iweje useme amekupendea pesa ikiwa ulimtafuta mwenyewe,inaonesha we ndo mwenye shida naye ko uamuzi uko juu yako ikiwezekana muoe tu na uache kumsingizia eti alikupendea pesa wakati ulimtafuta mwenyewe
Wanaume nyie mnaona hawana haki ya kukataliwa.kama umeshapata hela alafu unakosa kujiamini na kukosa maamuzi madogo kama haya basi kazi ipo
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
kwahiyo unataka upendwe tu bila hela, msiwafanye wadada hawana akili aiseeKuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi atakaekupa pole na shida zako.
Miaka ya nyuma kidogo sikua vyema kipesa,nilimpenda binti mmoja mzuri sana ki ukweli lakini sikuwahi fanikiwa kuwa nae si kwamba sikumwambia ila hata kunisogelea yule dada hakutaka,na alikua akinipita ananipita kama hanioni,ki ufupi nilikua SIO TYPE yake (financialy).
Nilipogundua hilo nikawa nakula kwa macho na kila siku yule dada alizidi kuwa mzuri,ukimuangalia leo ukija kesho ni kama umeona mdada mpya,ila sio kwa maringo yake yule dada,hata salamu yangu alikua haitiki ni kama hajaisikia.
Miaka imeenda,nipo eneo lile lile yule dada akapoteaga nikawa simuoni tena ni zaidi ya miaka mi 5 mbele na mimi Mfuko ukawa si haba,maisha nayo yakabadilika.
Sisemi nina pesa ila ninaweza hudumia wanawake wenye pesa na nyodo aina zote kwa sasa,Dada yule karudi nikamuona karudi kufanya kazi ofisi ile ile niliyokua namuonaga.
Watu wanabadilika, yeye alibadilika ila kama ilivyo kawaida yake uzuri wake ulikua vilevile, kwa upande wangu SURA imekua ang'avu sina shida zile tena Nimebadilika pia.
Kwa kua ni dada ambaye alishanikataaaga nikawa nikimpita sina taim nae,napta na 50 zangu nae na zake Hakuacha nyodo zake hadi leo.
Siku 1 nikiwa nimesimama nataka kuvuka barabara,akawa nae anataka kuvuka tukawa kama wote tunasubiri gari lipte tuvuke kwa mara ya kwanza akanisalimia ila ni kama kamsalimia mtu asie mjua (HABARI YAKO) nikamjibu short (SALAMA) tukavuka kila mtu na njia yake..
Siku nikajisemea hebu ngoja nimjaribu tena Nione kama bado anamisimamo yake,Hiyo siku nilikua narudi nyumbani nikamkuta anasubiri daladala nikafika kituoni nikasimamisha usafiri wangu nikamwambia ingia ndani nikusogeze,Akaingia.
Tukiwa tunaenda nikamuuliza jina,hatmae nkamuomba namba ya simu akanipa tukafika eneo anataka kushuka nikamshusha nikaendelea zangu.
Mambo yakaendelea kwenye simu chat chat sana ila ni mtu ambae haonyeshi dalili zozote za kunijua,nikaja ingia Sound zangu, DADA AKANIELEWA 100% hana kinyongo.
sijamgusa hadi na leo hii maana nipo njia panda hivi kweli kanisahau au na mimi sku hizi nimekua mu handsome?
Au ni nini kimemvuta kwangu? Jibu nikapata ni PESA tu hakuna kingine, Sasa wanaume wenzangu hebu naombeni ushauri wenu katika hili sakata.
Huyu dada ananipenda ila nina uhakika asilimia zote kanipendea Pesa,hivi nini nifanye? Mzuri ni Mzuri sio kidogo hana chembe ya kasoro kimuonekano lakini Upendo wake juu yangu unanitia mashaka nimfanyaje?
Au nimkule tuu kisha nimkule tenaa niongeze nimkule tenaaa halafu mwisho nimuacheee,au nimpotezeee kama alivyokua akinipotezea miaka ilee?
Did she deserve my Penis? au nimuache solemba? Mnawafanyaga nini wanawake sampuli hii mnaogundua KWELI wanawapenda ila upendo wao sababu kuu ni PESA huwa mnawafanya nini hawa viumbe?
Aiseefanya hivi mkuu....
hutojutia
piga kisha sepa😋Aisee
🙌piga kisha sepa😋
Basi hafaihapana dada, alishaniona sana na nilishamsimamisha sana na nakumbuka nilishamuita siku nikahisi hajasikia nikamshika mkono, alijivuta na kunikata Jicho juu chini x 5 na sonyo kubwaa na ndipo ilikua siku ya mwisho mimi kuhangaika nae.
kabla nilikua nikihisi hasikii salamu zangu au nikimuita ndio hyo siku nikajitosa kumshka mkono,Nilichokutana nacho nilikoma,na ikawa mwisho.
Kwahio siku akitetereka kimaisha aachwe tena?Mi hua sinaga kinyongo na watoto wa kike, hv ww ungekutana na ww kipindi hicho ungejipenda? Elewa
Kama mdada wa watu kaamua kuset standard za mtu wa kumdate na Kwa wakati huo we hukua na hzo standard sioni kosa lake, ila leo umefikia vigezo anavovitaka ndo maana kaku-accept.
Cha kukusaidia kwa Sababu na ww leo umekua somebody na yy mpime kama ana vigezo ambavyo unawish ili umdinyie demu lazima awe navyo eq trakrol, titi 6:45, rangi unayoipenda n.k