Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!

Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Wewe unaona sawa kabsa mwanamke kunywa pombe? Mimi mwenyewe sinywi pombe na mwanaume kweli kweli. .
 
Mwanamke akinywa pombe tena msichana bdo namshusha credibility kabisaa.. umri wa uzaz sio wa kuchezea mwili

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!

Bia tamuuu
emoji446.png
emoji449.png
emoji448.png
emoji2788.png

Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!

Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Bia taamuuu nyumbani na si kwenye vilabu.
 
Kama waliokotana baa au kwenye starehe ni sahihi kabisa maana jamaa yako alipenda mlevi
 
Yan hapo ni sawa na kusema kama analala na mwanaume mmoja au wawili sio shida, shida ni akiwa mzinzi malaya 🤣 Sielewagi kabisa wanawake wanaokunyw pombe. .
Mfano wako sidhani, ni tofauti. Anaekunywa bia 1,2 akaishia hapo sio sawa na mlevi. Point nilioipata ni kwamba hupendi kabisa mwanamke anywe pombe hii ndio nimekuelewa.
 
Mimi naona mwanamke yoyote alieolewa na asieolewa sio sawa kunywa pombe au sijui ndo ainaela ya bia au ni wivu wangu tu[emoji2]
 
Ni sahihi kabisa, tena hapo bado mume hajaanza kumuokota mkewe mitaroni.
Nimejiuliza tu kuwa walivyokuwa wachumba hakujua ulevi wa mke mtarajiwa? Au ndo ile kujiaminisha nikimuweka ndani atabadilika
 
Mm naona mwanamke yoyote alieolewa na asieolewa sio sawa kunywa pombe au sijui ndo ainaela ya bia au ni wivu wangu tu[emoji2]
Pombe kwa mtoto wa kike jau sana.
 
hainaga makombo ndugu, cha msingi siyo sabuni kwamba itaisha. 😀 😀 😀
Wacha wee [emoji2][emoji2] lkn ukijua wamekugongea unapiga mtu chuma.
 
Back
Top Bottom