Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Pombe kwa mtoto wa kike jau sana.
Ndo ukweli sio nzuri alafu kunamaisha baada ya ujana na unywaji pombe
Kwanza tupo kwenye umri wa uzazi pili kuna malez ya watoto bado yanatuhitaji

Kuna kulea familia zetu na wazazi Bado tupate mda wa kunywa na pombe
 
Rafiki yako ni sholooooo!

Mkeo anaanzaje kuondoka Et akanywe pombe kisa mmepishana?

Kwamba anaanza kujiandaa, anavaa unusu utupu, na kimkoba, anajipodoa, anaweza wigi, huyo anatoka ..alafu anarudi usiku!

Eeehhh Naona wanaume tumebaki wachache sanaaa very very few

Jamaa anampenda sana mke wake. Na pia anajitahidi sana kwa uwezo wake kumpa mkewe maisha classy
 
Kwa uzoefu wangu, %kubwa ya wadada wanapokunywa kujicontrol ni shida. Katika vitu ambavyo vitasitisha mahiano baina yetu ni yeye kunywa pombekwa namna yoyote. Hiyo ni kwa mujibu wa experience
Japo kwenye mahusino mengine mshkaji asiwe na shida na unywaji wa mwanamke wake.
 
Nimejiuliza tu kuwa walivyokuwa wachumba hakujua ulevi wa mke mtarajiwa? Au ndo ile kujiaminisha nikimuweka ndani atabadilika
Hii haina tofauti na ile sikupi mpaka ndoa, inawezekana walikuwa sawa kipindi cha uchumba ila baada ya ndoa ndo unaonyesha rangi yako halisi
 
Jamaa anampenda sana mke wake. Na pia anajitahidi sana kwa uwezo wake kumpa mkewe maisha classy
Aaahhh Nyinyi bado hamjawajua Wanawake

Yaan kama unadhan kumbebisha Mkeo na kumpa Kila kitu anachotaka Kwa wakati wakeee kumdekeza sanaaaa na mablaaa blaaa ...Et ndo kumfanya Mkeo akuelewe zaidi..IMEKULA KWAKO BWASHEEEE !!.


Sasa jiulize kwann anamfanyia hayo na kumpenda sanaaa lkn ndo kwanza Mwanamke hakuheshim??......


Hawa viumbe hawataki hivo , MWANAMKE ANATAKA UTAWALA WA KIFAULME .

MWANAMKE USIMPE DEMOKRASIA .

MWANAMKE USIMFANYE AKUPENDE AU AKUHESHIM KWA MAZAGAZAGA UNAYOMPA .


YEYE ANAPASWA AKUHESHIM KWAKUA WEE NI MUME WAKE NA YEYE NI MWANAMKE WAKO.



Kuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha Mwanamke na Mtoto
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?

Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.

Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
Ni sahihi kunywa ukiwa nyumbani na kiwango kisizidi...... Au kunywa ukiwa na huyo mume lkn ni kdg tena kwa heshima.
Lkn kunywa na kurudi usiku sana hiyo si SawA huyo mwanamke anafaa apewe onyo kali na kipigo cha mbwa mwizi
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?

Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.

Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
Kwani yeye Mume anasemaje!!??
 
Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!

Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Nyinyi hata kuvaa Suruwali hamsitahili,sema Basi tu tunawavumilia kimtindo!!
 
Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi

WANAUME wa kileo ni vituko sana...wengi ni wa hovyo.......Yaani Unamuacha Mkeo aondoke nyumbani aende kulewa na kisha anarudi... Na unaenda KULIALIA kwa watu ushauriwe....

Tabia za hovyo kweli,,,,

Be a Man,,
 
Back
Top Bottom