Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Mwanamke aliyeolewa kunywa pombe ni sawa?

Hahaha sorry budy wewe ni KE au ME? Nataka nijue nakufundisha vipi hapo. Kila mtu anajua divai zinafanyaje wewe hujui 😬
😀😀😀😀itakua inategemea na divai yenyewe.... me sister ko hayo mengine akhuu
 
Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!

Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Naachaje kumwagilia moyoo[emoji482][emoji482][emoji482]
 
😀😀😀😀itakua inategemea na divai yenyewe.... me sister ko hayo mengine akhuu
Hakuna divai isiyolewsha wewe ukiona haileweshi ujue hiyo ni juice tu. Kuna siku niko Mosi nikanunua kreti la safari lager, nilimnunulia baba yangu mdogo.

Kuna dada laikuwepo pale alikunywa safari 12, yule dada pombe ilivyompanda alipiga kwikwi sijawahi ona toka nizaliwe. We Amehlo acha pombe bhana wanawake wazuri hawalewi 😬
 
Hakuna divai isiyolewsha wewe ukiona haileweshi ujue hiyo ni juice tu. Kuna siku niko Mosi nikanunua kreti la safari lager, nilimnunulia baba yangu mdogo...
😅😅😅😅sasa mfano robertson ninywe kaglas nilewe? mohan ninywe kaglas nilewe au 4 cousin ninywe kaglass nilewe sinywi zaidi ya hapo labda kama niko na mtu nnae muamini au niko home
 
😅😅😅😅sasa mfano robertson ninywe kaglas nilewe? mohan ninywe kaglas nilewe au 4 cousin ninywe kaglass nilewe sinywi zaidi ya hapo labda kama niko na mtu nnae muamini au niko home
All those you mentioned zina 7.5% kuendelea. Kumbe kanywaji haka katoto na kana mshipa wa kunywa. Glass huwezi leo ila najua unakunywa glass kuogopa kuimaliza unakunywa hela 🤣 ndo maana hazishuki. .

Nimefurahi
 
😅😅😅😅😅amna ila hizo ndo nazokunywa labdana namaqua kuna moja nilionjeshwa sikumbuki jina ila tamu tamu nyeupe kama sprite nayo inaweza nifaa vinginevyo nakunywa maji tu 😅😅😅😅
 
Onyo ni chini ya miaka 18 haijakatazwa kwa walioolewa....acha mambo ya ajabu
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?

Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.

Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
Una uhakika huyo jamaa ni ME?
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Hili ni tatizo lako wala si la rafiki yako!

MiMi nakushauri uachane nae kama umeshindwa kumzuia kunywa! Kama wewe unywi ni ngumu sana kuishi na mwanamke mlevi! Hivi wewe unywi imekuwaje ukamuoa mwanamke mlevi? Mmekutana wapi?
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Yaani wakipishana kidogo,mke anavaa kimini na kwenda bar kuolewa.. hahaha..Blaza,una hakika kuwa huyo jamaa yako kweli huyo ni mkewe?
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?
...
Hakuna ndoa hapo. Mwanamke anaweza akaanza hizo tabia angalau ndoa ikiwa na miaka 20
 
Nina swali!

Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?

Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.

Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
hakuna jinsia inaruhusiwa kulewa

1 Wakorintho 6:9-10 BHND​

Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi ufalme wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti, wezi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyanganyi, hao wote hawatashiriki ufalme wa Mungu.

mlevi yupo kundi moja na msengenyaji, na mlawiti
 
Back
Top Bottom