SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Hakuna mwanamke anaekazwa kirahisi kama mwanamke alielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe kunywa ila usiwe mlevi aisee,
Ni sahihi kunywa ukiwa nyumbani na kiwango kisizidi...... Au kunywa ukiwa na huyo mume lkn ni kdg tena kwa heshima.
Lkn kunywa na kurudi usiku sana hiyo si SawA huyo mwanamke anafaa apewe onyo kali na kipigo cha mbwa mwizi
Bas mi ni mlevi😜Ukinywa pombe hata ujazo wa kifuniko cha chupa,,, wewe tayari ni MLEVI....
Suluhu ni either kuacha kabisa or uwe MLEVI....
Si lazima uwe na stress, kwani wanatoka nje ya ndoa zao huwa wana stress wote.Ukienda na stress lazima umwite mhudumu akae hapo, ale.
Mwanamke ana haki zote kama human beingRaha ya pombe unaenda kunywa ukiwa na furaha zako, sio unaenda kunywa ili ktpunguza stress.
Unaenda bar huna mawazo yoyote, unakaa kwenye kiti pembeni kabisa kule kisha muhudumu anakuja kukukaribisha. Unamwambia nipe safari ya baridi, anakuletetea safari kubwa inatoa jasho hivi.
Baadaye kidogo unampa ishara unamwambia niitie wa jikoni.
Anakuja, unamwambia niletee ile nzama nusu pilipili nyingi na mchicha. Hapo bia inakuwa tamu zaidi aisee! Kisha unaondoka zako na amani yote.
Hapana sinywi bia 😀😀😀ila naonjaga divai mara moja mojaWewe unakunywa ? Kama unakunywa acha kabisa haifai. .
Alafu me hua nashangaa sana hivi mtu unajua ukinywa utatapika kwa Nini unyweImagine anakunywa mpaka anarudisha chenji. Huyo ni kapitiliza sana
Mkuu nadhani inatokana na kuchanganya vilevi. Ile mixer huwa ina vuruga tumbo😂Alafu me hua nashangaa sana hivi mtu unajua ukinywa utatapika kwa Nini unywe
Mkuu kuna wengine hata anywe bila kuchanganya lazima atapike........ Me nkinywa kitu nkaona kinaniletea kichefuchefu au tumbo kuuma siwez kurudia..... Kuna siku nlitoka tukawa kama watu 6..... Tukaagiza konyagi na castle lite... Me hua sinywi konyagi kabisa na sijawai kunywa castle lite...... Weeeh sinikajifanya kisebengo nkanywa nyingi.... Asubui yake niliharisha sijawai kuona yani niliharisha hadi pale kweny tundu pakawa panauma kama pamechwanwa...... Sijawai kurudia hadi leoMkuu nadhani inatokana na kuchanganya vilevi. Ile mixer huwa ina vuruga tumbo[emoji23]
Wacha bwana!!Nyinyi hata kuvaa Suruwali hamsitahili,sema Basi tu tunawavumilia kimtindo!!
Vijana wa leo hawatakuelewaAaahhh Nyinyi bado hamjawajua Wanawake
Yaan kama unadhan kumbebisha Mkeo na kumpa Kila kitu anachotaka Kwa wakati wakeee kumdekeza sanaaaa na mablaaa blaaa ...Et ndo kumfanya Mkeo akuelewe zaidi..IMEKULA KWAKO BWASHEEEE !!.
Sasa jiulize kwann anamfanyia hayo na kumpenda sanaaa lkn ndo kwanza Mwanamke hakuheshim??......
Hawa viumbe hawataki hivo , MWANAMKE ANATAKA UTAWALA WA KIFAULME .
MWANAMKE USIMPE DEMOKRASIA .
MWANAMKE USIMFANYE AKUPENDE AU AKUHESHIM KWA MAZAGAZAGA UNAYOMPA .
YEYE ANAPASWA AKUHESHIM KWAKUA WEE NI MUME WAKE NA YEYE NI MWANAMKE WAKO.
Kuna Uzi mwembamba sana unaotenganisha Mwanamke na Mtoto
Hizo divai zinahusika kwenye kla na kuliwa kimasikhara.hapana sinywi bia 😀😀😀ila naonjaga divai mara moja moja
hapanaHizo divai zinahusika kwenye kla na kuliwa kimasikhara.
Hahaha sorry budy wewe ni KE au ME? Nataka nijue nakufundisha vipi hapo. Kila mtu anajua divai zinafanyaje wewe hujui 😬hapana
Hahaa mkuu kwahyo unahisi ilikuwa sababu ya kunywa bia hujaizoea?Mkuu kuna wengine hata anywe bila kuchanganya lazima atapike........ Me nkinywa kitu nkaona kinaniletea kichefuchefu au tumbo kuuma siwez kurudia..... Kuna siku nlitoka tukawa kama watu 6..... Tukaagiza konyagi na castle lite... Me hua sinywi konyagi kabisa na sijawai kunywa castle lite...... Weeeh sinikajifanya kisebengo nkanywa nyingi.... Asubui yake niliharisha sijawai kuona yani niliharisha hadi pale kweny tundu pakawa panauma kama pamechwanwa...... Sijawai kurudia hadi leo
Ndio Mkuu me mwenyewe hua sitapiki kabisa... Lkn castle lite [emoji119][emoji119] sitarudia mana ilinipunguza uzito siku moja tuHahaa mkuu kwahyo unahisi ilikuwa sababu ya kunywa bia hujaizoea?
Mimi Mungu kanijalia huwa nakunywa bia sirudishi chenji wala nini hata kama sijaizoea sababu wakati naanza sikustiki kwenye brand moja. Hayo ma kvant na konyagi huwa sigusi kabisa