Wewe unaona sawa kabsa mwanamke kunywa pombe? Mimi mwenyewe sinywi pombe na mwanaume kweli kweli. .Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!
Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Ni sawa kabisa.Wewe unaona sawa kabsa mwanamke kunywa pombe? Mimi mwenyewe sinywi pombe na mwanaume kweli kweli. .
Kama anakunywa kidogo labda bia moja ama mbili naona sio shida, shida ni akiwa mlevi.Mwanamke hata kama hajaolewa kunywa pombe sio sawa kabisa. Kifupi mwanamke hatakiwi anywe pombe kabisa. .
Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!
Bia tamuuu
Bia taamuuu nyumbani na si kwenye vilabu.Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!
Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Visichana vinavyokunywa pombe hovyo hovyo vinakopwa sanaa !!Mwanamke akinywa pombe tena msichana bdo namshusha credibility kabisaa.. umri wa uzaz sio wa kuchezea mwili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yan hapo ni sawa na kusema kama analala na mwanaume mmoja au wawili sio shida, shida ni akiwa mzinzi malaya π€£ Sielewagi kabisa wanawake wanaokunyw pombe. .Kama anakunywa kidogo labda bia moja ama mbili naona sio shida, shida ni akiwa mlevi.
Bia 2?? Si tutaumwa vichwa sasaKama anakunywa kidogo labda bia moja ama mbili naona sio shida, shida ni akiwa mlevi.
Mfano wako sidhani, ni tofauti. Anaekunywa bia 1,2 akaishia hapo sio sawa na mlevi. Point nilioipata ni kwamba hupendi kabisa mwanamke anywe pombe hii ndio nimekuelewa.Yan hapo ni sawa na kusema kama analala na mwanaume mmoja au wawili sio shida, shida ni akiwa mzinzi malaya π€£ Sielewagi kabisa wanawake wanaokunyw pombe. .
Ngapi sasa ππ
Sawa huwa mnasema hivyo mkiwafuma mnawachoma na motohainaga makombo ndugu, cha msingi siyo sabuni kwamba itaisha. π π π
Nimejiuliza tu kuwa walivyokuwa wachumba hakujua ulevi wa mke mtarajiwa? Au ndo ile kujiaminisha nikimuweka ndani atabadilikaNi sahihi kabisa, tena hapo bado mume hajaanza kumuokota mkewe mitaroni.
[emoji23][emoji23]Mwagilia moyooooooo[emoji1][emoji1]
Pombe kwa mtoto wa kike jau sana.Mm naona mwanamke yoyote alieolewa na asieolewa sio sawa kunywa pombe au sijui ndo ainaela ya bia au ni wivu wangu tu[emoji2]
Wacha wee [emoji2][emoji2] lkn ukijua wamekugongea unapiga mtu chuma.hainaga makombo ndugu, cha msingi siyo sabuni kwamba itaisha. π π π
Aliyegongwa si ndo ya kwake, uamuzi ni wake na ndiyo maana anatembea nayo. πWacha wee [emoji2][emoji2] lkn ukijua wamekugongea unapiga mtu chuma.