ππππitakua inategemea na divai yenyewe.... me sister ko hayo mengine akhuuHahaha sorry budy wewe ni KE au ME? Nataka nijue nakufundisha vipi hapo. Kila mtu anajua divai zinafanyaje wewe hujui π¬
Naachaje kumwagilia moyoo[emoji482][emoji482][emoji482]Wacha we!! Kwamba kunywa pombe ni jambo baya hivyo wanaume ndio mnastahili mambo mabaya tu!!!
Bia tamuuu[emoji446][emoji449][emoji448][emoji2788]
Hakuna divai isiyolewsha wewe ukiona haileweshi ujue hiyo ni juice tu. Kuna siku niko Mosi nikanunua kreti la safari lager, nilimnunulia baba yangu mdogo.ππππitakua inategemea na divai yenyewe.... me sister ko hayo mengine akhuu
Si ndio hapo!Naachaje kunwagilia moyoo[emoji482][emoji482][emoji482]
Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
π π π π sasa mfano robertson ninywe kaglas nilewe? mohan ninywe kaglas nilewe au 4 cousin ninywe kaglass nilewe sinywi zaidi ya hapo labda kama niko na mtu nnae muamini au niko homeHakuna divai isiyolewsha wewe ukiona haileweshi ujue hiyo ni juice tu. Kuna siku niko Mosi nikanunua kreti la safari lager, nilimnunulia baba yangu mdogo...
All those you mentioned zina 7.5% kuendelea. Kumbe kanywaji haka katoto na kana mshipa wa kunywa. Glass huwezi leo ila najua unakunywa glass kuogopa kuimaliza unakunywa hela π€£ ndo maana hazishuki. .π π π π sasa mfano robertson ninywe kaglas nilewe? mohan ninywe kaglas nilewe au 4 cousin ninywe kaglass nilewe sinywi zaidi ya hapo labda kama niko na mtu nnae muamini au niko home
π π π π π amna ila hizo ndo nazokunywa labdana namaqua kuna moja nilionjeshwa sikumbuki jina ila tamu tamu nyeupe kama sprite nayo inaweza nifaa vinginevyo nakunywa maji tu π π π πAll those you mentioned zina 7.5% kuendelea. Kumbe kanywaji haka katoto na kana mshipa wa kunywa. Glass huwezi leo ila najua unakunywa glass kuogopa kuimaliza unakunywa hela π€£ ndo maana hazishuki. .
Nimefurahi
HAKIKA ni mlevi... na sijapenda hio tabia.... Acha Pombe...Bas mi ni mleviπ
Una uhakika huyo jamaa ni ME?Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?
Nina rafiki yangu ana ndoa ya muda wa mwaka mmoja. Mwanamke ameanza tabia ya ulevi. Wakipishana kauli mwanamke anaondoka nyumbani anaenda kulewa sana na anarudi usiku saa nyingine hadi anatapika.
Na mavazi anayovaa akienda kwenye pombe ndio ya hatari zaidi.
Hili ni tatizo lako wala si la rafiki yako!Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Yaani wakipishana kidogo,mke anavaa kimini na kwenda bar kuolewa.. hahaha..Blaza,una hakika kuwa huyo jamaa yako kweli huyo ni mkewe?Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani...
Hakuna ndoa hapo. Mwanamke anaweza akaanza hizo tabia angalau ndoa ikiwa na miaka 20Nina swali!
Ni sawa kwa mwanamke aliyeolewa kunywa pombe, kulewa na kuchelewa kurudi nyumbani?
...
hakuna jinsia inaruhusiwa kulewaNina swali!