[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahila hizi camera zinadanganya kichizi yan hapa kitaa kuna dem mweusi kama tairi ila huko insta ni mtoto wa kiarabu
Jichanganye upende rangi ya insta uone kama ukikutana nae utakubali ndo yeye
Acha tutanue mapafu kipenzi jf full burudaani!! Usipocheka humu una matatizo π€£π€£π€£!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa angu umechachukaa vibayaaaa
Hapo inabd ale swali, kwann unitumie picha ya zamani wkt tumekutana sasa hivi? HahahNi kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.
Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.Mbavu zanguuu hukuuuu nyieeee[emoji1787]!! Nani akubali kuonekana kiazi cherema thubutuuuu![emoji3526]
Mpaka Tongoyongo lol!! Mkuu leo umetuamuliaπ€ !video call haina kupindisha, Tena ukitaka ufaidi vizuri awe kwenye jua kali ndio utaona mpaka tongo tongo.
Mara nyingi utasikia camera yangu mbovu, mademu wanaogopa video call na kupigwa picha na simu ya mtu mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuambia nifundishe kutumia filter, au hutaki na mie niwe smooth?? Vibaya hivyoooAcha tutanue mapafu kipenzi jf full burudaani!! Usipocheka humu una matatizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
Tuanze kuvaa gaguroo kina baba tamu watatukimbiaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Kabisa shougaaangu sio kwa kichambo hiki!!
Yani ovyoo sana!
Wanaoneshea kidole wenzao huku vinne vyote vinawaangalia wao!!βΊοΈβΊοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuambia nifundishe kutumia filter, au hutaki na mie niwe smooth?? Vibaya hivyooo
Kama ni maradhi unapata wapi nguvu ya kumcheka mgonjwa?ondoa makasiriko ndugu. Chunusi si maradhi na punguza ku ji edit.
Maisha mafupi mno kuchukulia kila kitu serious dada yangu.
Mimi hakuna sehemu niliyosema ni mzuri ikizingatiwa mwanaume hajisifii uzuri.
Picha yangu hiyo hapo no filter.
Mimi ukinipigia video call umekwisha.hatari sana, dawa moja tu mpigie video call umemaliza
relax, mbona unachukulia huu uzi personal sana.Kama ni maradhi unapata wapi nguvu ya kumcheka mgonjwa?
Tungebuni tu vazi na sio kukana na kuiga vya jiran ,wanigeria wana mavazi yao ya kitamaduni hata harusi zao utaona,wachina,wahindiSasa dear mavazi yetu si ni kaniki na rubega.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo tuvae hivyoooo.
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa ππKwakweli picha sio vitu vya kuviamini sana!
Wacha weeeh wataka kusema sura inaweza kausha mipunga shambani.Boss wangu mie sura ngumu mno ukinikuta home na kijora changu unaweza usirudie kunitembelea π
We si umejifunika uso wote na hatukuoni haikudhuru bossππKazi kweli kweli