Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Bora umemnyoosha na yeye,kunawatu wanajikutaga malaika kukosoa wenzao wakat wao wenyewe wakawaida sanaaaa hata hawaeleweki
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ahsante studio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake weusi sijui kwann hawajiamini na demu mweusi ila kutwa ku edit picha yan picha anazopost zile alizotoka mweupe na mimi napenda mademu weusi....
Shida yenu wengi wenu sijui mnatongozaga wadada kwa mitandao mana kama umekutana na mtu live si unakua ushamuona anafananaje haiwez kukupa shida. Acheni kuwapenda watu wa kwenye picha hamtakutana na hizi kero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umemnyoosha na yeye,kunawatu wanajikutaga malaika kukosoa wenzao wakat wao wenyewe wakawaida sanaaaa hata hawaeleweki

Nadhan ifike Mahali watu tuheshimiane Kwa Ile hali ya "Utu wetu".

Ivi kama tumekutana JF, haya tumeonana, kwann umkimbie mtu?.

Yaan hata Ile hali tu huyu ni Binadam mwenzangu, Hauna ??.

Kujifanya Wee umekamilika sana au??

Watu wengine ovyoooo sana.
 
Alomwambia Facebook kuna wanawake ni nani?
 
Shida yenu wengi wenu sijui mnatongozaga wadada kwa mitandao mana kama umekutana na mtu live si unakua ushamuona anafananaje haiwez kukupa shida. Acheni kuwapenda watu wa kwenye picha hamtakutana na hizi kero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine wananunua wa kwenye mitandao yaani anategemea kama alivyomwona kwenye picha zake awe vile vile wakikutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…