Tatizo udomo zege bwana ...mitandao inarahisha sana mambo.Shida yenu wengi wenu sijui mnatongozaga wadada kwa mitandao mana kama umekutana na mtu live si unakua ushamuona anafananaje haiwez kukupa shida. Acheni kuwapenda watu wa kwenye picha hamtakutana na hizi kero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wakome kwani mitaan wanapoishi hamna wanawake?Kuna wengine wananunua wa kwenye mitandao yaani anategemea kama alivyomwona kwenye picha zake awe vile vile wakikutana
[emoji23] basi ndio mvumilie chochote mtakachokutana nacho sio mnakuja kutusema huku.Tatizo udomo zege bwana ...mitandao inarahisha sana mambo.
Hapa naweza sema direct tuu kelsea vipi mammy tunaqeza kutana tugegedane na huwezi nizabua kofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahihi. Pia tabia ya kujiona wakamilifu na kukosoa wengine sio poa kabisa.Ndiooo yule jamaa anavyonuka mdomo, hata huyo Mwanamke ni Bora alikimbiwa.
Wanawake mnavumilia sana, alafu Sasa jamaa aNavuta na sogara ...
Fikiria Bwanako ananuka mdomo alafu ni mvutaji wa sigara, siunajua sigara hunukisha mdomo zaidi?.
Na uhaya umemuharibu .Nadhan mtoa mada kapata muongozo. Tabia ya kujiona wakamilifu na kukosoa wengine sio poa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawapa muongozo humu .Sahihi. Pia tabia ya kujiona wakamilifu na kukosoa wengine sio poa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hicho anachosema mzabzab wengine madomo zege.
Kuwasema tutawasema kama mnaleta ujinga. Just put ur real pic bwana[emoji23] basi ndio mvumilie chochote mtakachokutana nacho sio mnakuja kutusema huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kelsea ndio unachambwa huku 🤣🤣🤣🤣Wanawake wanaopenda filter hua ni weusi kama goti ila wanaongoza mitandaoni kutaka wanaume tall, dark and handsome halafu wanataka wazae watoto weupe [emoji3][emoji3]
Njooni mnipige[emoji16]
It's ok but not very much alright.Kuwa makini na misemo.[emoji3][emoji3][emoji3] mwanamke sio urembo ni tabia
Basi mvumilie lolote mtakalokutana nalo [emoji16][emoji16][emoji16]Ndo hicho anachosema mzabzab wengine madomo zege.
Halafu kuna wakati unataka mechi ya fasta fasta mzuka umekupanda utamsubiri wa mtaani mpaka akupige vizinga siku mbili tatu ndo akutunuku
Anazama tagged anachagua malaya wanabargain bei akufuate au uumfuate anapiga shoo saafi kabisa
Wee unatuonea wanawake weusi bwana. Filter tunatumia wote tu hata weupe wanatumia.Wanawake wanaopenda filter hua ni weusi kama goti ila wanaongoza mitandaoni kutaka wanaume tall, dark and handsome halafu wanataka wazae watoto weupe [emoji3][emoji3]
Njooni mnipige[emoji16]
[emoji23] Mie mweusi alafu rangi yangu tamuu wee najipendaje. Filter wote tu tunatumia bwana wanaume wenyewe wapo wanaotumia filter itakua sieKelsea ndio unachambwa huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengine hawana shida na hizo filter wanaangalia tu tako lipo ndo ugonjwa waoBasi mvumilie lolote mtakalokutana nalo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanaogongwa hao ndio wanatumia filter[emoji23] Mie mweusi alafu rangi yangu tamuu wee najipendaje. Filter wote tu tunatumia bwana wanaume wenyewe wapo wanaotumia filter itakua sie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anaegongwa ni mwanaume? Huyo ni mwenzetu. Filter watu kibao wanatumia msituonee akina sisiWanaume wanaogongwa hao ndio wanatumia filter
Mwanamume kutumia filter ni akina afande wa UngujaWanaume wanaogongwa hao ndio wanatumia filter
Alietengeneza filter hakuwa mjinga. Nyie ndio muache ujinga kupata makasiriko kisa mwingine anatumia filter.Kuwasema tutawasema kama mnaleta ujinga. Just put ur real pic bwana