Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

JF Women
50% mashangazi, 40% singo maza, 8% wasimbe + feminist kubuhu, 2% tu ndo pisi kali za kueleweka tena haswaa ambao hawajaweka picha za ku download.

Men
70% vitambi, 25% fit body 3% michicha mwiba(wanaongezeka kwa kasi ya 5g), 2% kataa ndoa.
 
Mtu wa namna hii hata akijakuomba msaada humu atakosa,maaana wengine tuna tabia ya kukagua mafaili ya nyuma 😄😄😄,na kibaya zaidi post za humu hazifutiki zinaishi.Kuna mda watu wanatakiwa kudhamini utu wa mtu
 
Sasa unatongoza wa mtandaoni wa mtaani huwaoni?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook,
Kweli usione nyani mkokwe amekwepa mishale mingi,
mimi ilishawahi kunitokea day moja, sijui ni mdada alikosea namba basi akanambia mm furani huwa tunawasiliana we chat by then.... ehee mzee ile sauti inatoka ni nzuri balaaaaa... nikawa na assume sasa yeye alivyo mzuri kama sauti ilivyo basi nikaenda face book kumchek uzuri FB ilikuwa ukiweka namba kama ndio namba amesajiria basi inamleta direct..... nikawa namwona hivi lkn nika notice kama kuna shida kidogo kwenye sura, nikawa najifariji kuwa ni picha lada imekaa vibaya...... nikatoka zangu Moro huyo chap nije nikutane nae Dar then kesho niendelee na safari kwenda Moshi...

mzee tukaseti mipango yote fresh kwa fone, nikapiga simu sehemu nalalaga nikawekewa room nikamwelekeza akafika hapo mahali... saa 10 nipo maeneo namwuliza room ananiambia basi chap huyo ndani, aiseee nikawa namuangalia mara najifanya kama nainama nimwone vizuri.... kumbe alukuwaga na midomo ile ya sungura nadhani au like alipata ajali mdomo una ulemavu hivi dah na nishafika ndani nafanyeje.... mzee nikazuga nikapiga kimoko.. nikamwambia naenda kumchek jamaa mahali.... nikaenda nikarudi namwuliza vip si hujaanga home urudi isiwe soo akagoma maana ake ngoma ninayo hadi asbh......aisee niliomba kuche haraka...yaani ile 10.30 mm huyo kwenda kupanda gari!
 
Mkuu umemuacha huyo wife material kwa sababu ya mdomo sungura mkuu dah.
 
JF Women
50% mashangazi, 40% singo maza, 8% wasimbe + feminist kubuhu, 2% tu ndo pisi kali za kueleweka tena haswaa ambao hawajaweka picha za ku download.

Men
70% vitambi, 25% fit body 3% michicha mwiba(wanaongezeka kwa kasi ya 5g), 2% kataa ndoa.
umewaza mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…