Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] yule kajiunga kwenye chama letu ladies, nae ni mrembo.Mwanamume kutumia filter ni akina afande wa Unguja
Tushamfuta uanachama kiumeni mpakeni poda na mafilter ya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23] yule kajiunga kwenye chama letu ladies, nae ni mrembo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashauri tuwe tunatembea na mashine za x-ray ama?Uzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Mtu wa namna hii hata akijakuomba msaada humu atakosa,maaana wengine tuna tabia ya kukagua mafaili ya nyuma 😄😄😄,na kibaya zaidi post za humu hazifutiki zinaishi.Kuna mda watu wanatakiwa kudhamini utu wa mtuNadhan ifike Mahali watu tuheshimiane Kwa Ile hali ya "Utu wetu".
Ivi kama tumekutana JF, haya tumeonana, kwann umkimbie mtu?.
Yaan hata Ile hali tu huyu ni Binadam mwenzangu, Hauna ??.
Kujifanya Wee umekamilika sana au??
Watu wengine ovyoooo sana.
ila we jamaa🤣🤣ushawahi kutana na mtu ana chunusi kavu sura nzima, ukifanya mchezo ukajifanya romantic kupitisha mkono usoni unachubuka kiganja😂😂
Chunusi kavu hii mpya kwangu😬😁😁ushawahi kutana na mtu ana chunusi kavu sura nzima, ukifanya mchezo ukajifanya romantic kupitisha mkono usoni unachubuka kiganja😂😂
Ndio kabisa MkuuMtu was namna hii hata akijakuomba msaada humu atakosa,maaana wengine tuna tabia ya kukagua mafaili ya nyuma 😄😄😄,na kibaya zaidi post za humu hazifutiki zinaishi.Kuna mda watu wanatakiwa kudhamini utu was mtu
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is a stolen generation.
sura sio roho😂😂Wanatuonea sie wenye surangumu tunaroho nzuri sana jamani tunakosaje vyote sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣relax, mbona unachukulia huu uzi personal sana.
Na nimesema chunusi si maradhi. Hata sikujui sasa kama una michunusi yako huko na kuhisi comment zangu zinakulenga wewe basi bonyeza button ya ignore hutoona ninachoandika, kinyume na hapo nitakuwa sina msaada kwako maana mwisho wa siku natumia simu yangu, bundle langu na account yangu ya JF.
Tafute corner ujibanze utumbue michunusi hiyo achana na mimi.
Kweli usione nyani mkokwe amekwepa mishale mingi,rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook,
Mkuu umemuacha huyo wife material kwa sababu ya mdomo sungura mkuu dah.Kweli usione nyani mkokwe amekwepa mishale mingi,
mimi ilishawahi kunitokea day moja, sijui ni mdada alikosea namba basi akanambia mm furani huwa tunawasiliana we chat by then.... ehee mzee ile sauti inatoka ni nzuri balaaaaa... nikawa na assume sasa yeye alivyo mzuri kama sauti ilivyo basi nikaenda face book kumchek uzuri FB ilikuwa ukiweka namba kama ndio namba amesajiria basi inamleta direct..... nikawa namwona hivi lkn nika notice kama kuna shida kidogo kwenye sura, nikawa najifariji kuwa ni picha lada imekaa vibaya...... nikatoka zangu Moro huyo chap nije nikutane nae Dar then kesho niendelee na safari kwenda Moshi...
mzee tukaseti mipango yote fresh kwa fone, nikapiga simu sehemu nalalaga nikawekewa room nikamwelekeza akafika hapo mahali... saa 10 nipo maeneo namwuliza room ananiambia basi chap huyo ndani, aiseee nikawa namuangalia mara najifanya kama nainama nimwone vizuri.... kumbe alukuwaga na midomo ile ya sungura nadhani au like alipata ajali mdomo una ulemavu hivi dah na nishafika ndani nafanyeje.... mzee nikazuga nikapiga kimoko.. nikamwambia naenda kumchek jamaa mahali.... nikaenda nikarudi namwuliza vip si hujaanga home urudi isiwe soo akagoma maana ake ngoma ninayo hadi asbh......aisee niliomba kuche haraka...yaani ile 10.30 mm huyo kwenda kupanda gari!
Mtajua wenyewee!!Kwa hiyo unashauri tuwe tunatembea na mashine za x-ray ama?
umewaza mbaliJF Women
50% mashangazi, 40% singo maza, 8% wasimbe + feminist kubuhu, 2% tu ndo pisi kali za kueleweka tena haswaa ambao hawajaweka picha za ku download.
Men
70% vitambi, 25% fit body 3% michicha mwiba(wanaongezeka kwa kasi ya 5g), 2% kataa ndoa.