Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Mdau ana namna yako aliyoumbiwa ni ya tofauti. Sijioni popote nikishinda hilo jaribu.Ila Mimi nampongeza mleta mada Yuko matured na asimkule huyo mdada maana urafiki na wema utakufa, hafu mahusiano kazini huwa ni hatari Sana, nimempenda tu moyo wake wa utu wakumsaidia huyo dada bila kutaka ngono wanaume wengi huwa hawatusaidii wanawake hata misaada ya kiubinadamu bila kutaka ngono aisee, mleta mada ubarikiwe na kizazi chako chote aisee. Maana wengine usipo mpa ngono msaada haupati ng'o