Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Ila Mimi nampongeza mleta mada Yuko matured na asimkule huyo mdada maana urafiki na wema utakufa, hafu mahusiano kazini huwa ni hatari Sana, nimempenda tu moyo wake wa utu wakumsaidia huyo dada bila kutaka ngono wanaume wengi huwa hawatusaidii wanawake hata misaada ya kiubinadamu bila kutaka ngono aisee, mleta mada ubarikiwe na kizazi chako chote aisee. Maana wengine usipo mpa ngono msaada haupati ng'o
Mdau ana namna yako aliyoumbiwa ni ya tofauti. Sijioni popote nikishinda hilo jaribu.
 
Nyie wanaume mmenifanya ndoto zangu kurudi nyuma some how why.
Ukitaka kazi nzuri nyapu.
Ukitaka karatasi ipitishe upate kitu cha muhimu nyapu.
Chochote nyapu.
So mtoto ameshaadhirika kiakili we kubali nyapu au mwambie huitaki nyapu kistaarabu.
Sasa hicho kindugai umepewa bure na mola unatunyimia nini sasa ?
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Ila ndio hivyo jamaa hataki sasa.
 
Back
Top Bottom