Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Mawazo ya vijana 20-30, mwanamke kwao ni ngono tu . Kuanza nae uhusiano ili wafanye ngono, wanafunga ndoa sababu ni ngono n.k ndoa zitadumu vipi sasa,?
Sawa sawa mhenga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sure.Nilichokuja kugundua ni kwamba kuna tofauti kubwa sana kwa kijana kabla hajaoa na akiwa ameoa in terms of mindset. Familia huja na majukumu mengi sana ambayo huitaji uongozi,busara,na maarifa hvyo huwezi kumkuta mtu mwenye majukumu anawaza ngono muda wote.
Kweli..hayo mawazo ya ngonontuachieni sie mabachelor.
Ata ofisini naona diference kabisa wezangu mkisafiri mara wanunue vitunguu nyanya kuoeleka home....mie mwenzoa hela nilishamalizia kwenye papuchi zamaniiii
 
Unazungumzia wanawake duniani kote au hawa wa democratic republic of chato?
 
Kweli..hayo mawazo ya ngonontuachieni sie mabachelor.
Ata ofisini naona diference kabisa wezangu mkisafiri mara wanunue vitunguu nyanya kuoeleka home....mie mwenzoa hela nilishamalizia kwenye papuchi zamaniiii
Hatari sana
 
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
Na kama sina kitanda nalala chini je.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazame mermaid anaelekea upande upi
Mermaid ukitazama vizurii ndo kwanza amezuia njia ye anaenda huko hao emoji wengine wanakotokea.

Moyo Wa mwanamke ni kichaka,anaweza hata aka fake kufika kilekeni,na mwisho Wa Siku mkikorofishana atakutangaza una kibamia.
 
Back
Top Bottom