Python_
Member
- May 30, 2021
- 16
- 11
Fact
Ada, kodi, chakula, mavazi, usafiri, Afya, ulinzi. Hivi vyote ni vya mwanaume unatakiwa uhakikishe familia yako inapata. Ngono ni sehemu tu ya ndoa ila mambo yapo ni mengi sana mkuu.