Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Hii inakuja halafu inatoka...kuna manzi nilimt**mba mpaka akaanza kulalamika mzee mbona huchoki unaunganisha tu mabao!! Kumbe kaelewa show na inaonekana hajawah kukutana na show ya namna hiyo...
 
Hawa viumbe huwa ni chakula cha kila Mwenye Mkuyenge, jana Demu wangu amenipita sehemu bila yeye kuniona akiingizwa lodge na Lijamaa, kaja kuniona baada ya Masaa mawili wakati anatoka akiwa na hilo hilo jamaa, alihisi aibu haswa aliponiona
Baada ya hapo ningependa kujua ni maamuzi gani ulichukua mkuu
 
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
Very true....aisee
 
Mwanamke anaanza kukupenda pale anapoona hili neno mara kwa mara

"Imethibitishwa umepokea..."
 
teh teh teh, vijana bwana na dunia ya mapenzi, tupambaneni na maisha mapenzi yapo tu hasa ukiwa na mke siyo malaya.
 
Mwanamke anakupendea hela bwana hizo zingine mbwembwe tu ni nilishaachwa na demu ninae mkaza haswa mpaka anazirai wakati mwingine mpaka anapandwa na mapepo ila alipopata jamaa mwenye hela huwezi amini nilionekana mbwa kwanzia siku hizo sijipindi kivile kwenye kifua cha mwanamke nikishapiga bao zangu zinazonitosha huyo natoka aridhike asiridhike hainihusu kama kugongewa nitagongewa tu hata iweje hiyo ndio imani yangu
 
Si kweli


Kuna watu hawana lolote si chochote ila wanapendwa

Kifupi mwanamke anajua kupenda ndo mana mwanaume alipewa agizo la kupenda sababu hajui kupenda na mwanamke alipewa agizo la kuheshimu sababu anajua kupenda ila kuheshimu hajui...

Kusema mwanamke anakupendea kitandani mi nakataa tena sana.
 
Huwa sipendi kuanika kila kitu huku, ila mtoa mada upo sahihi, japo wa aina hiyo kuwa nao makini sana na huwa wanafanya jitihada zote ili uingie kwenye 18 zao uwe wao milele.

Tuishi nao kwa akili.
 
Mwanamke ahaeleweki ukiona Umeanza kumuelewa jua Unakaribia Kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utampiga dudu na kumpa hela kesho unamkuta anapigwa na asiekuwa na nyuvu za kiume.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
Unaandika kabisa bila woga eti "uwanja wa dhambi".

Mungu akusamehe, anisamehe na mimi kwa kusoma huu uchafu.

Kamwe hatuwezi kuikomboa Tanzania kwa kuwategemea vijana wanaowaza ngono kila wakati.
 
Anayeanzia kukupendea kitandani huyo ni MALAYA wa ngono tu,hamna definition nyingine.
Hapo wataonesha manjonjo ya kwenye porn wakati kina dada wanahisi kuteseka. Kuna sehemu nimeona kuna 'I fucked her....really? Did she cum? If not she fucked you"!
 
Back
Top Bottom