Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Mawazo ya vijana 20-30, mwanamke kwao ni ngono tu . Kuanza nae uhusiano ili wafanye ngono, wanafunga ndoa sababu ni ngono n.k ndoa zitadumu vipi sasa,?
Sawa sawa mhenga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kweli..hayo mawazo ya ngonontuachieni sie mabachelor.
Ata ofisini naona diference kabisa wezangu mkisafiri mara wanunue vitunguu nyanya kuoeleka home....mie mwenzoa hela nilishamalizia kwenye papuchi zamaniiii
 
Unazungumzia wanawake duniani kote au hawa wa democratic republic of chato?
 
Kweli..hayo mawazo ya ngonontuachieni sie mabachelor.
Ata ofisini naona diference kabisa wezangu mkisafiri mara wanunue vitunguu nyanya kuoeleka home....mie mwenzoa hela nilishamalizia kwenye papuchi zamaniiii
Hatari sana
 
Na kama sina kitanda nalala chini je.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazame mermaid anaelekea upande upi
Mermaid ukitazama vizurii ndo kwanza amezuia njia ye anaenda huko hao emoji wengine wanakotokea.

Moyo Wa mwanamke ni kichaka,anaweza hata aka fake kufika kilekeni,na mwisho Wa Siku mkikorofishana atakutangaza una kibamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…