Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Kwahiyo umeshahongwa na wangapi hadi sasa kwa sababu ya hicho kitanda?, unajisifia kuhongwa ?๐Ÿค”
 

Hawa viumbe huwa ni chakula cha kila Mwenye Mkuyenge, jana Demu wangu amenipita sehemu bila yeye kuniona akiingizwa lodge na Lijamaa, kaja kuniona baada ya Masaa mawili wakati anatoka akiwa na hilo hilo jamaa, alihisi aibu haswa aliponiona
 
Mzinzi atakupima kwa uzinzi kwa kuwa ndio kipaumbele chake kwenye muunganiko huo......mwanamke mwerevu hutazama upendo kwani ndio nguzo kuu inayowafanya wapendanao waishi kwa furaha kwa nyakati zote......
 
Na shikuru mama mkwe kwa kulea uzuri mwali.
Hana hata chembe ya ulafi wa pesa๐Ÿ˜‚
Noelia najua humalizi chakula chote kwenye sahani una staha ya kubakiza
Nimezeeka nimekuwa malaika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hebu usivuruge mada ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ