Python_ Member Joined May 30, 2021 Posts 16 Reaction score 11 May 31, 2021 #81 Fact Waaai said: Ada, kodi, chakula, mavazi, usafiri, Afya, ulinzi. Hivi vyote ni vya mwanaume unatakiwa uhakikishe familia yako inapata. Ngono ni sehemu tu ya ndoa ila mambo yapo ni mengi sana mkuu. Click to expand...
Fact Waaai said: Ada, kodi, chakula, mavazi, usafiri, Afya, ulinzi. Hivi vyote ni vya mwanaume unatakiwa uhakikishe familia yako inapata. Ngono ni sehemu tu ya ndoa ila mambo yapo ni mengi sana mkuu. Click to expand...
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 6,976 Reaction score 7,726 May 31, 2021 #82 Namba 26 said: Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga. KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI. Click to expand... Fact
Namba 26 said: Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga. KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI. Click to expand... Fact