Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi.

kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani.

Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza.

Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato.

:AlizeePLS: :AlizeePLS: :AlizeePLS::AlizeePLS:
 
Kuna wanawake wenye upendo ila kwa dunia yetu yasasa nguvu ya kiuchumi wanaizingatia sana, huna uwezo kiuchumi utapendwa kwa muda tu au inawezekana usipendwe kabisa.
Nadhani pia teknolojia ya kuona watu wengine huko duniani wanaishije, labda ndio imepelekea warembo kutanguliza pesa/uchumi mbele
 
Back
Top Bottom