Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sema soon anaweza akawa free huyo kakaYule wa BOT ana mwenyewe anamchunga kaa mbuzi.
Juzi nimemtafuta nimpe pole kwenye msiba hata simuoni, halafu sosho media zote hayupo kama bado analindwa na usalama wa taifa.