Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Nimeshashuhudia watu kadhaa wenye hela zao wanavyosumbuliwa na mapenzi.... Love is all about affection

Mwanamke huwezi ukamdiscribe kirahisi hivyo ... wenye kujua mind set ya mwanamke hatujawahi kutetereka na tumepata wanawake wenye mapenzi ya kweli katika hali zetu hizi hizi za kipato cha kati

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wanaofuata ela kwenye mahusiano 75%
Wanaume wanaofata kitumbua kwenye mahusiano 90%

Hapo range ya wanawake wanaopenda kweli 25%
Tofauti ya 15%
Wanaume wanaopenda kweli.

Kwahiyo usilazimishe kusema wanawake sema baadhi ya wanawake, au baadhi ya wanaume.

Nb: tafiti sio rasmi ni makadirio tu kulingana na nyuzi na maoni mbalimbali ya hapa jf
 
We kwa hali uliyonayo sasa hivi hamna utakachoelewa zaidi ya hicho ulichoamua kuamini. Kunywa maji yakutosha, kama una nguvu ya kula basi kula kidogo alafu ulie mpaka usingizi ukuchukue.

Kesho, kesho kutwa hivi ndio turudi kwenye huu mjadala.
Hapo kwa mzee umefuata nini; leo hii akipofuka macho utaendelea kuwa naye?
 
Huu uzi unatugawa makundi makundi hivyo usitake kuaminisha watu wa kundi BA haliyakuwa ww ni kundi A...kundi A ni wale ambao kwa kipindi hiki wapo kileleni na kundi BA wapo kwenye sintofahamu zote ni hali ambazo kila mmoja anasema anachopitia so ww kama unateseka mkuu just relax time ya kulicover itaisha na utakula maisha na wale wanao pitia Bata wale kweli kweli cos siku zao zipo njiani tumuombe mungu atuepushe na pepo mbaya maana ni balaaa.
Uchumi ukiyumba tu; utaona kila aina ya rangi
 
Ndo naingia holy trinity third floor mwezi huu mkuu ila nna miaka 6 chamani nalisongesha sio mgeni saana. Pia ni Old soul (50+ years If u know waramean).

Aisee unakuaga mchangamfu na mtundu sana nkajua uko labda mid 30s mkuu but age is just some digit, maximum respect!
Ruhusu maisha yawe na furaha, umri ni namba tu
 
Hujakutana za mke anachukua pesa kwa mume kulipia penzi kwa mchepuko kapuku? Mambo si general linapokuja suala la tabia za binadamu, binadamu tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom