Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!.

Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani?

Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika.

Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
 
Mkuu, katika mazingira ya mwanadamu kila jambo huenda kwa staha, utaratibu, nidhamu na kiasi, Ankara ( fedha ) sio suhulisho ya kila jambo pia Kuna ukomo wake.

katika maisha hupewi vyote lazima upewe hiki na kile unyimwe. Kwa mfano, utabarikiwa utajiri ukanyimwa uzao. Katika nafsi yako utasoneneka Basi utambue pesa sio kila kitu katika mapenzi.
 
Back
Top Bottom