Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

Bora hata huyo anayerudisha sehemu ya ulichomhonga, kuna wengine unaweza kuhonga hata laki lakini huoni hata kitu cha afutatu anakununulia
 
Huyo ni mumiani. Mwanamke mwema anajua uwezo wako, akikuona usoni anajua umefulia au una hela.

Pia anajua ni wakati gani sahihi wa kukuomba kitu bila ya kukufanya uumie moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…