Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, alafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango..

Anakununulia boxer na t shirt, alafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake..

Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa..

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Muhimu uhai,
 
Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango.

Anakununulia boxer na t-shirt, halafu anakukumbusha kuhusu zawadi kwenye siku ya kuzaliwa kwake.

Anakununulia vocha, kisha anakwambia ubovu na kuichoka simu yake ya sasa.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Na mwanaume anafanya nini?
 
TAFUTA HELA ACHA UFALA!

hako ka-TECNO katakufia muda wowote kuanzia sasa, na nafkiri ukiwa active JF muda mrefu kanachemka na ku-stuck 🤔
 
Back
Top Bottom