Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

huo ni ugonjwa wa kisaikolojia na kimwili kama yalivyo magonjwa mengine. Wahusika wakipata tiba, hurudi katika hali ya kawaida na pia tafiti zinaonesha mmoja wa wahusika kuna wakati utafika na kujikuta akitamani asili (tendo la asili) ifuate mkondo wake kwa gharama yoyote. Hivyo mabinti kuweni makini, wewe ndiye unayetengeneza maisha yako ya baadae. " Ujinga" wako ndio utakaokufanya uingie na kubaki katika mahusiano yasiyo na tija kwako. Asante
 
11

Okay enjoy your sexual orientation.

dada Karucee wewe ni mkongwe humu.
mwanzoni alikuwa akija mwanamke analalamika kusalitiwa ataelekezwa njia mbali mbali za kujaribu kurudisha penzi kwa huyo mtu wake.
jukwaa lilipovamiwa na lesbians ushauri wao mkuu ni kuvunja ndoa tu. hakuna ushauri mwingine wanaoutoa.
wanachowaza wao ni tuwe wengi wanasahau kuwa wengine wako ludodolelo huko.

ule ushauri wa kiustahimilivu, kiungwana huupati humu siku hizi.
wako wengi sana hata humu.
 
Last edited by a moderator:

Mbona hata mimi hua nawashauri vizuri tu jamani!
 
Last edited by a moderator:
dada Karucee wewe ni mkongwe humu.
mwanzoni alikuwa akija mwanamke analalamika kusalitiwa ataelekezwa njia mbali mbali za kujaribu kurudisha penzi kwa huyo mtu wake.
jukwaa lilipovamiwa na lesbians ushauri wao mkuu ni kuvunja ndoa tu. hakuna ushauri mwingine wanaoutoa.
wanachowaza wao ni tuwe wengi wanasahau kuwa wengine wako ludodolelo huko.

ule ushauri wa kiustahimilivu, kiungwana huupati humu siku hizi.
wako wengi sana hata humu.
Mkuu Nyalotsi, umenena ukweli.

Ukiuliza imekuwaje wanawake kwa wanawake utasikia lawama Zote anapewa mwanaume.

Unajikuta unachoka tu ghafla.

Ooh wameniumiza, ooh hawaturidhishi.
 
Girls acheni kujitoa ufahamu kujishusha zaidi ya wanyama.

A lifetime of orgasms won't make up for the joy of having a husband and kids.

Stay fovused on the bigger picture and have the fear of God in your hearts.

Cc Nyalotsi
 
Last edited by a moderator:
Alietoa post amekosea kitu kimoja , asingetakiwa aseme eti m nimeshangaa na jinsi walivyo wazuri, ni kwamba hujaona mashoga kweny pitapita zako, watu n heshim zao n misuti na mi prado yaoo kumbe mashogaa
Mungu hakuumba Adam na Alex Wala Asha na Amina , ila Adam na Hawa hizo nyingn exchanges ni za binadamu tuu wameziongeza, we unawashangaa wakina rubi? Hujui hata mashoga wapo hum n vile hajajitokeza
, look all sides uone dunia inavyotelezea korongoni
 
Mashoga Wapo Na Wana Haki Zao.
 
Back
Top Bottom