Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you lesbians??
Hayahadithiki!
Lol wanaume mlisema tuwanyime mautamu hadi ndoa sasa wacha tufurahishane
Lkn hata na hivyo nitamu sana
Why not:what:
11
Okay enjoy your sexual orientation.
dada Karucee wewe ni mkongwe humu.
mwanzoni alikuwa akija mwanamke analalamika kusalitiwa ataelekezwa njia mbali mbali za kujaribu kurudisha penzi kwa huyo mtu wake.
jukwaa lilipovamiwa na lesbians ushauri wao mkuu ni kuvunja ndoa tu. hakuna ushauri mwingine wanaoutoa.
wanachowaza wao ni tuwe wengi wanasahau kuwa wengine wako ludodolelo huko.
ule ushauri wa kiustahimilivu, kiungwana huupati humu siku hizi.
wako wengi sana hata humu.
11
Okay enjoy your sexual orientation.
Niliwahi kusikia wengi wao wanakuwa wameumizwa sana na wanaume..pengine ni sababu. Sina uhakika lakini
Mkuu Nyalotsi, umenena ukweli.dada Karucee wewe ni mkongwe humu.
mwanzoni alikuwa akija mwanamke analalamika kusalitiwa ataelekezwa njia mbali mbali za kujaribu kurudisha penzi kwa huyo mtu wake.
jukwaa lilipovamiwa na lesbians ushauri wao mkuu ni kuvunja ndoa tu. hakuna ushauri mwingine wanaoutoa.
wanachowaza wao ni tuwe wengi wanasahau kuwa wengine wako ludodolelo huko.
ule ushauri wa kiustahimilivu, kiungwana huupati humu siku hizi.
wako wengi sana hata humu.
Alietoa post amekosea kitu kimoja , asingetakiwa aseme eti m nimeshangaa na jinsi walivyo wazuri, ni kwamba hujaona mashoga kweny pitapita zako, watu n heshim zao n misuti na mi prado yaoo kumbe mashogaa
Mungu hakuumba Adam na Alex Wala Asha na Amina , ila Adam na Hawa hizo nyingn exchanges ni za binadamu tuu wameziongeza, we unawashangaa wakina rubi? Hujui hata mashoga wapo hum n vile hajajitokeza
, look all sides uone dunia inavyotelezea korongoni