Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Anataka kujua mipango yako. Unamwingilia unaonaachana naye?Unamuingilia unampa mimba na kumuacha? Unamuingilia na kumuoa? Unamuingilia unampa mimba na kulea bila ndoa? Unamuingilia tu kila ukitaka bila ahadi yoyote? UNATAKA NINI? NENDA STRAIGHT, SEMA HITAJI LAKO, AAMUE, Ujanja ujanja, kujificha ficha ndo kunaleta matokeo yasiyotarajiwa.
 
Ujinga ni pale anauliza swali ila kichwani anatarajia jibu moja ambalo ameliandaa yeye na sio jibu lolote kutoka kwa muulizwaji.

Ukitaka alianzishe mjibu kusema kweli sina mpango wa kuoa , wala kuishi na mwanamke ndio utajua alikuwa na jibu lake
 
Anataka kujua mipango yako. Unamwingilia unaonaachana naye?Unamuingilia unampa mimba na kumuacha? Unamuingilia na kumuoa? Unamuingilia unampa mimba na kulea bila ndoa? Unamuingilia tu kila ukitaka bila ahadi yoyote? UNATAKA NINI? NENDA STRAIGHT, SEMA HITAJI LAKO, JIAMINI, AAMUE.
Ni kweli kabsa ila mara kadhaa mienendo ya mwanamke inamfanya mwanaume aishi katika namna ambavyo mwanamke ataona kuwa hapa kuna ndoa au ndo mnapoteza muda!
Waliosomea Cuba wanaelewa vyema!
 
Ujinga ni pale anauliza swali ila kichwani anatarajia jibu moja ambalo ameliandaa yeye na sio jibu lolote kutoka kwa muulizwaji.

Ukitaka alianzishe mjibu kusema kweli sina mpango wa kuoa , wala kuishi na mwanamke ndio utajua alikuwa na jibu lake
Mkuu wanawake wengi wanauliza swali hili wakiwa wanafahamu majibu!
 
Ni kweli kabsa ila mara kadhaa mienendo ya mwanamke inamfanya mwanaume aishi katika namna ambavyo mwanamke ataona kuwa hapa kuna ndoa au ndo mnapoteza muda!
Waliosomea Cuba wanaelewa vyema!
Mkuu, binafsi naona ukiwa straight mwanaume inapendeza na kuepusha mambo mengi. Wanawake wanapenda kuingiliwa wajipigie bao zao, ukimwambia sina mpango wa ndoa wala mtoto ila napenda kufanya ngono na wewe ataelewa tu na yeye atapima iwapo akupe mara moja, mbili, tatu, akupe siku zote au asikupe kabisa. Ataamua akupe kwa masharti au akupe bure.

Dhambi ya uzinzi mkiamua kuitenda msijifanye mnaifanya kitakatifu kwa unafiki unafiki na kudanganyana danganyana. Zibuaneni kwa uwazi na maamuzi huru mkimaliza mnajua mmefanya uzinzi sio mmefanya uzinzi na pia ni wanafiki.
 
Mkuu, binafsi naona ukiwa straight mwanaume inapendeza na kuepusha mambo mengi. Wanawake wanapenda kuingiliwa wajipigie bao zao, ukimwambia sina mpango wa ndoa wala mtoto ila napenda kufanya ngono na wewe ataelewa tu na yeye atapima iwapo akupe mara moja, mbili, tatu, akupe siku zote au asikupe kabisa. Dhambi ya uzinzi mkiamua kuitenda msijifanye mnaifanya kitakatifu. Zibuaneni kwa uwazi na maamuzi huru.
Lakini kumbuka kuwa kadri unavyompatia muda wako ndo anatumia hiyo njia kukusoma! Mfano, mm nikilala na mwanamke tukavunja amri ya saba! Lazma aondoke siwezi kuendelea kumtazama! Hapo nitarudi kupiga code zangu za kazi! Sitaki mazoea kwa zaidi ya 40% Wengi ni ngumu kunisoma!
 
Hili swali ni trap, anakuaminisha ana matarajio na wewe ila kiuhalisia wengi wanaoulizaga hili swali huwa wanatafuta option ipi ni nzuri kwake. Ukijibu unataka kumuoa na yeye hana mpango wa kuolewa imekula kwako, maana lazima kuna mwamba atakuwa amemjibu itategemea na yeye ana mipango gani.
 
Ok boss, ila jitahidi kabla ya kulala nae uwe wazi kuwa lililowakutanisha ni kutoana nyege then basi. Isije ikawa wewe una code zako za kazi mwenzio ana code za mimba mambo yanaanzaga kuvurugikia hapa.
 
Yes, Most definitely! mipango inakuwa wazi sana! In fact kuna baadhi vichwa maji huwa nawarekodi mpaka sauti wakiwa wanasema it is all about sex!
 
Hili swali ni trap, anakuaminisha ana matarajio na wewe ila kiuhalisia wengi wanaoulizaga hili swali huwa wanatafuta option ipi ni nzuri kwake. Ukijibu unataka kumuoa na yeye hana mpango wa kuolewa imekula kwako, maana lazima kuna mwamba atakuwa amemjibu itategemea na yeye ana mipango gani.
Mkuu hakuna trap yoyote kama unaelewa unataka nini na maisha yako. Wanawake ni wengi, na wewe unajiamini, unamjibu tu unachotaka kama yeye hataki basi.
 
Yes, Most definitely! mipango inakuwa wazi sana! In fact kuna baadhi vichwa maji huwa nawarekodi mpaka sauti wakiwa wanasema it is all about sex!
Unazifanyia nini hizo sauti boss? Kama unawasikilizisha marafiki achana na hiyo tabia haina maana. Kuna kijana alijikuta amefall kwa mwanamke ambaye keshaonyesha marafiki picha zake za utupu, miaka imepita wana familia sasa na wale marafiki hawapo ila ndo hivyo.
 
Back
Top Bottom