Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Jibu ni sina mpango wowoteee😂Hakuna swali la kijinga duniani. Swali lijibiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni sina mpango wowoteee😂Hakuna swali la kijinga duniani. Swali lijibiwe.
Biashara inakukata hiyo/inaishia hapohapo.Jibu ni sina mpango wowoteee😂
Ni kuchezeana tu 🤣Anamaanisha utamuoa au ndio utamchezea
Ni kupiga au kupigana 😀Ajue unataka kukaa mazima ama kupiga na kusepa.
Kwani vipi pale napo anapomuuliza Mume wa wenzie😆Anamaanisha utamuoa au ndio utamchezea
Yote sawa 😸Ni kupiga au kupigana 😀
Hutaki raraa reree a_comment😅Yote sawa 😸
Kumbe huwa unacomment nimezoea kuona likes tu.
Hapana ila sijazoea kumuona akicomment.Hutaki raraa reree a_comment[emoji28]
Kwahiyo huwa ni kuyumba kwa akili tu sio😁
Pia naona ni comment yake pengine ya kwanza,maana yake kaielewa JF🤣.Hongera raraa rereeHapana ila sijazoea kumuona akicomment.
Ndio mkuu kwani mtu anayekupenda na mwenye malengo nawewe huonesha kwa vite do na si hayo manenoKwahiyo huwa ni kuyumba kwa akili tu sio😁
Pamoja Sana...Nakazia hii mdau...
#YNWA
Anamaanisha utampa maisha ikitokea kabeba mimba? Utamlea mtoto wako na mama wa mtoto?Kwani vipi pale napo anapomuuliza Mume wa wenzie😆
Kuna wanaume nao wanamind kuchezewa 😂😂😂Ni kuchezeana tu 🤣