Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna mind sana kuchezewa.Kuna wanaume nao wanamind kuchezewa 😂😂😂
Basi mkuu tutajitahidi tusiwachezee tuwaharibie ujana wenuTuna mind sana kuchezewa.
Nina kuhakikishia kuwa, mwanamke akiuliza hivyo, serious kwa 100% huwa anamaanisha kuwa, bado hajakuelewa, anahisi bado hujajitambua na hujamuelewa kuhusu lengo la yeye kutaka kuolewa na wewe jana (sio leo au kesho) hivyo amua sasa au uhusiano huo uishe ili mambo mengine yaendelee (wengine wapewe nafasi).Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Wanakuwa wanamaanisha utulie uchunwe!Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Wewe umemuambiajeTayari mtoto kashakataa mipango niliyonayo wacha niendelee na maisha yangu
Kubababake humu tu..Hilo swali alitakiwa amuulize baba yake.
Nataka kumuoaWewe umemuambiaje
Basi sawa wacha tuoneUkiona hivo mwanamke anataka kukaa mazima 😀
Swali la mtego hilo,ila huwa jibu ni la uongo siku zote😁 endapo litaulizwa kabla ya kuvuana nguo za ndani.Anataka kujua mipango yako. Unamwingilia unaonaachana naye?Unamuingilia unampa mimba na kumuacha? Unamuingilia na kumuoa? Unamuingilia unampa mimba na kulea bila ndoa? Unamuingilia tu kila ukitaka bila ahadi yoyote? UNATAKA NINI? NENDA STRAIGHT, SEMA HITAJI LAKO, AAMUE, Ujanja ujanja, kujificha ficha ndo kunaleta matokeo yasiyotarajiwa.
Swali la mtego hilo,ila huwa jibu ni la uongo siku zote😁 endapo litaulizwa kabla ya kuvuana nguo za ndani.Anataka kujua mipango yako. Unamwingilia unaonaachana naye?Unamuingilia unampa mimba na kumuacha? Unamuingilia na kumuoa? Unamuingilia unampa mimba na kulea bila ndoa? Unamuingilia tu kila ukitaka bila ahadi yoyote? UNATAKA NINI? NENDA STRAIGHT, SEMA HITAJI LAKO, AAMUE, Ujanja ujanja, kujificha ficha ndo kunaleta matokeo yasiyotarajiwa.
Endapo ushamtafuna utajibu vyovyote ila ukijibu utumbo kabla hujamgonga ujue imekula kwako.Mkuu hakuna trap yoyote kama unaelewa unataka nini na maisha yako. Wanawake ni wengi, na wewe unajiamini, unamjibu tu unachotaka kama yeye hataki basi.
You dont wanna be on the losing side.Mkuu, binafsi naona ukiwa straight mwanaume inapendeza na kuepusha mambo mengi. Wanawake wanapenda kuingiliwa wajipigie bao zao, ukimwambia sina mpango wa ndoa wala mtoto ila napenda kufanya ngono na wewe ataelewa tu na yeye atapima iwapo akupe mara moja, mbili, tatu, akupe siku zote au asikupe kabisa. Ataamua akupe kwa masharti au akupe bure.
Dhambi ya uzinzi mkiamua kuitenda msijifanye mnaifanya kitakatifu kwa unafiki unafiki na kudanganyana danganyana. Zibuaneni kwa uwazi na maamuzi huru mkimaliza mnajua mmefanya uzinzi sio mmefanya uzinzi na pia ni wanafiki.
Kama yule au sio!Huyo siyo mvumilivu achana nae
Una mpango gani na mimi KelseaAjue unataka kukaa mazima ama kupiga na kusepa.
Ana maanisha una mpango gani na yeye?Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Baada ya kujibu hivyo utegemee kwamba simu yako haitakaa ipokelewe kwa wakati na majibu yatakuwa ya reja reja hasa kama mtoto wa kike anaishi hapa Dar es salaam. Maana umeshindwa kubalance kwenye mzani. Hamna mwanamke anataka kusikia kuwa huna mpango wa kujenga nae future hata kama unamdanganya.Jibu ni sina mpango wowoteee😂
Biashara ya mimba ngumu sanaAnamaanisha utampa maisha ikitokea kabeba mimba? Utamlea mtoto wako na mama wa mtoto?