Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Anataka kujua utamuoa au utamtumia tu na kumuacha jibu lako unatakiwa umpe la kutojifunga wewe mjibu hivi nina malengo ya dhati kutoka ndani ya moyoni lakini pia inategemea tutakavyoishi ndani ya mahusiano yetu
Au mwambie sasa hivi lengo ni kujuana na kufanya ngono, kama utanifaa na nitakufaa tutafunga ndoa.
 
Unazifanyia nini hizo sauti boss? Kama unawasikilizisha marafiki achana na hiyo tabia haina maana. Kuna kijana alijikuta amefall kwa mwanamke ambaye keshaonyesha marafiki picha zake za utupu, miaka imepita wana familia sasa na wale marafiki hawapo ila ndo hivyo.
Nipo timatu sana Mkuu! Huwa naongea nao kisha wanasikilizisha! One time kidogo kiumbe kitengenezwe kizembe zembe halafu kidada kinasema eti tuzae tu hakuna shida! Nina wanawake wawili sio timamu sana ndo huwa nawafanyia hivyo!
 
Ok mkuu, Ni sawa. Mnafurahia maisha yenu ya ngono na uzinzi muda wa kuishi duniani upite wengine waendelee maana hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom