Anataka kujua mipango yako. Unamwingilia unaonaachana naye?Unamuingilia unampa mimba na kumuacha? Unamuingilia na kumuoa? Unamuingilia unampa mimba na kulea bila ndoa? Unamuingilia tu kila ukitaka bila ahadi yoyote? UNATAKA NINI? NENDA STRAIGHT, SEMA HITAJI LAKO, JIAMINI, AAMUE.
Mkuu wanawake wengi wanauliza swali hili wakiwa wanafahamu majibu!Ujinga ni pale anauliza swali ila kichwani anatarajia jibu moja ambalo ameliandaa yeye na sio jibu lolote kutoka kwa muulizwaji.
Ukitaka alianzishe mjibu kusema kweli sina mpango wa kuoa , wala kuishi na mwanamke ndio utajua alikuwa na jibu lake
Hapo umepewa greenlight anza kuandaa hela za saloon na vocha.Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Yeye sasa ndio ataamua inakuaje kulingana na yeye alikua anahitaji nini. Kuna wanawake hawataki mambo ya kugandana hivyo ukimuambia hayo inakua poa kwake.Kumbe sasa huo si mtego nikisema nataka kupiga na kusepa
Kwa mantiki hiyo ni kwamba mwanaume naye ana mahitaji yake!? Je ataweza kuhudumia!?
Mkuu, binafsi naona ukiwa straight mwanaume inapendeza na kuepusha mambo mengi. Wanawake wanapenda kuingiliwa wajipigie bao zao, ukimwambia sina mpango wa ndoa wala mtoto ila napenda kufanya ngono na wewe ataelewa tu na yeye atapima iwapo akupe mara moja, mbili, tatu, akupe siku zote au asikupe kabisa. Ataamua akupe kwa masharti au akupe bure.Ni kweli kabsa ila mara kadhaa mienendo ya mwanamke inamfanya mwanaume aishi katika namna ambavyo mwanamke ataona kuwa hapa kuna ndoa au ndo mnapoteza muda!
Waliosomea Cuba wanaelewa vyema!
Lakini kumbuka kuwa kadri unavyompatia muda wako ndo anatumia hiyo njia kukusoma! Mfano, mm nikilala na mwanamke tukavunja amri ya saba! Lazma aondoke siwezi kuendelea kumtazama! Hapo nitarudi kupiga code zangu za kazi! Sitaki mazoea kwa zaidi ya 40% Wengi ni ngumu kunisoma!Mkuu, binafsi naona ukiwa straight mwanaume inapendeza na kuepusha mambo mengi. Wanawake wanapenda kuingiliwa wajipigie bao zao, ukimwambia sina mpango wa ndoa wala mtoto ila napenda kufanya ngono na wewe ataelewa tu na yeye atapima iwapo akupe mara moja, mbili, tatu, akupe siku zote au asikupe kabisa. Dhambi ya uzinzi mkiamua kuitenda msijifanye mnaifanya kitakatifu. Zibuaneni kwa uwazi na maamuzi huru.
Mkuu Njoo PM nikutumie buku lako upate vocha! Bonge la comment!Anamaanisha kuna mwanaume mwingine ameshampa mipango yake kwahiyo anataka ailinganishe na yako
Hakuna jibu lifaalo kwa wote inategemeana na mood yako, uchumi, nakadhalikaJibu linatakiwa liweje.
Ok boss, ila jitahidi kabla ya kulala nae uwe wazi kuwa lililowakutanisha ni kutoana nyege then basi. Isije ikawa wewe una code zako za kazi mwenzio ana code za mimba mambo yanaanzaga kuvurugikia hapa.Lakini kumbuka kuwa kadri unavyompatia muda wako ndo anatumia hiyo njia kukusoma! Mfano, mm nikilala na mwanamke tukavunja amri ya saba! Lazma aondoke siwezi kuendelea kumtazama! Hapo nitarudi kupiga code zangu za kazi! Sitaki mazoea kwa zaidi ya 40% Wengi ni ngumu kunisoma!
Ukikua utajua, anakuuliza utaendelea kuchimba mgodi hadi lini? Km imeanza kuuchimbaHivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Yes, Most definitely! mipango inakuwa wazi sana! In fact kuna baadhi vichwa maji huwa nawarekodi mpaka sauti wakiwa wanasema it is all about sex!Ok boss, ila jitahidi kabla ya kulala nae uwe wazi kuwa lililowakutanisha ni kutoana nyege then basi. Isije ikawa wewe una code zako za kazi mwenzio ana code za mimba mambo yanaanzaga kuvurugikia hapa.
Mkuu hakuna trap yoyote kama unaelewa unataka nini na maisha yako. Wanawake ni wengi, na wewe unajiamini, unamjibu tu unachotaka kama yeye hataki basi.Hili swali ni trap, anakuaminisha ana matarajio na wewe ila kiuhalisia wengi wanaoulizaga hili swali huwa wanatafuta option ipi ni nzuri kwake. Ukijibu unataka kumuoa na yeye hana mpango wa kuolewa imekula kwako, maana lazima kuna mwamba atakuwa amemjibu itategemea na yeye ana mipango gani.
Anataka kujua utamuoa au utamtumia tu na kumuacha jibu lako unatakiwa umpe la kutojifunga wewe mjibu hivi nina malengo ya dhati kutoka ndani ya moyoni lakini pia inategemea tutakavyoishi ndani ya mahusiano yetuHivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Unazifanyia nini hizo sauti boss? Kama unawasikilizisha marafiki achana na hiyo tabia haina maana. Kuna kijana alijikuta amefall kwa mwanamke ambaye keshaonyesha marafiki picha zake za utupu, miaka imepita wana familia sasa na wale marafiki hawapo ila ndo hivyo.Yes, Most definitely! mipango inakuwa wazi sana! In fact kuna baadhi vichwa maji huwa nawarekodi mpaka sauti wakiwa wanasema it is all about sex!