Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Nina kuhakikishia kuwa, mwanamke akiuliza hivyo, serious kwa 100% huwa anamaanisha kuwa, bado hajakuelewa, anahisi bado hujajitambua na hujamuelewa kuhusu lengo la yeye kutaka kuolewa na wewe jana (sio leo au kesho) hivyo amua sasa au uhusiano huo uishe ili mambo mengine yaendelee (wengine wapewe nafasi).
Kwa lugha nyepesi, amechoka kukusubiri kumuoa.
 
Swali la mtego hilo,ila huwa jibu ni la uongo siku zote😁 endapo litaulizwa kabla ya kuvuana nguo za ndani.
 
Swali la mtego hilo,ila huwa jibu ni la uongo siku zote😁 endapo litaulizwa kabla ya kuvuana nguo za ndani.
Mkuu hakuna trap yoyote kama unaelewa unataka nini na maisha yako. Wanawake ni wengi, na wewe unajiamini, unamjibu tu unachotaka kama yeye hataki basi.
Endapo ushamtafuna utajibu vyovyote ila ukijibu utumbo kabla hujamgonga ujue imekula kwako.
 
You dont wanna be on the losing side.
 
Jibu ni sina mpango wowoteee😂
Baada ya kujibu hivyo utegemee kwamba simu yako haitakaa ipokelewe kwa wakati na majibu yatakuwa ya reja reja hasa kama mtoto wa kike anaishi hapa Dar es salaam. Maana umeshindwa kubalance kwenye mzani. Hamna mwanamke anataka kusikia kuwa huna mpango wa kujenga nae future hata kama unamdanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…