Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshindwa kueleweka kwao je huku kwenye ndoa ataeleweka kweliAisee kazi unayo
Acha uongo, aliyesema tuishi nao kwa akili sio Yesu ni PauloYesu mpaka anapaa hakuoa kwa sababu alishindwa kuwaelewa akaishia kusema muishi nao kwa akili, Mimi ni nani niwaelewe unaweza ukawa navyo vyote na asikuelewe.
Mwanamke ni kiumbe mvusho bila ngazi havuki bila mtumbwi havuki na ngazi ikiharibika havuki, acha wabaki ng'ambo yao, wakivuka tutawapata wakiwa ndani ya himaya zenu watoa lift na kivuli tupoIjumaa Kareem!
Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema mwanaume Yule haeleweki, mume wake haeleweki, mchumba wake haeleweki.
Haya ni baadhi ya mambo yanayomaanishwa na wanawake wasemapo Kauli hiyo.
1. Umeshindwa kumfanya ajione yupo peke yake moyoni mwako. Yaani hana uhakika yeye ndio utamuoa.
2. Kipato chako anashindwa kukikadiria. Hajui unafanya shughuli gani hasa inayokuingizia kipato. Hivyo hana uhakika na huduma utakazompa pindi utakapomuoa.
Kumbuka Mwanamke anahitaji Security.
Security yake ya Kwanza ni Kupendwa yeye pekeake. Pili, kuhudumiwa na kutunzwa.
3. Kutoa ahadi lakini unashindwa kuzitimiza.
Wanawake hupenda kukujaribu kwenye ahadi. Huweza kukuuliza; Baby utaninunulia Mkoba Kama ule wa Doreen, ni elfu 60 tuu.
Utajibu, atakuuliza lini, utajibu. Basi atasubiri hiyo siku. Ukishindwa kutimiza ahadi za namna hiyo zaidi ya tatu nne atasema haueleweki.
Kumbuka wanawake huwaelewa wanaume wanaotimiza ahadi hasahasa ahadi ndogondogo kwani kupitia kutimiza ahadi kunamfanya akuamini na azidi kukupenda.
Kwa mwanamke ni Bora usimuahidi kuliko utoe ahadi usitimize kwake analichukulia Kama Deni.
4. Kupoteza kumbukumbu.
Mwanaume anayepoteza kumbukumbu Kwa mwanamke huwa hamuelewi. Wanawake hawawaelewi wanaume wanaopoteza kumbukumbu hasa zile za muhimu kama birthday zao, au Jambo Fulani mliopatana.
Mwanamke anaona mwanaume anayepoteza kumbukumbu Hajali na sio responsible Man.
5. Kutoa Kauli za kumtisha.
Kauli Kama, ondoka kwenu, nitakupa talaka, nitaongeza mke mwingine n.k.
Wanawake huamini maneno zaidi kuliko hata matendo.
Mwanamke hawawaelewi wanaume wanaowatisha kuwa wanasema kweli au wanatabia na kuwatisha tuu.
Kadiri unavyomtisha mwanamke unamtengezea mazingira ya kujihami na kujiandaa Kwa lolote. Tena hata usipomfukuza anaweza kujipanga kuondoka mwenyewe wakati unamhitaji.
Wanawake hawapendi kuishi na mtu wasiyemuelewa. Wanaona usalama wao ni mdogo.
Hata hivyo mwanamke hapendi kumuelewa mwanaume Kwa baadhi ya mambo. Hasa Ratiba zake, maamuzi yake endapo litatokea Jambo la hatari kwenye familia.
Taikon niishie hapa.
Kwa hiyo tumsaidiaje huyo mwanamke?Ijumaa Kareem!

Kwa hiyo tumsaidiaje huyo mwanamke?
Sijui mimi nitaendelea hivyo hivyo ku pay little attentionUnajua chakufanya Mkuu
Sijui mimi nitaendelea hivyo hivyo ku pay little attention
Nakazia hapa📌Nasisitiza,, vijana acheni KUOA!
Embu tuachieni kidgo,ina maana Dada,binam,wanao na wengine pia umejumlishaNasisitiza,, vijana acheni KUOA!
Nini kina sababisha wanawake kuwa vigeugeuWanawake wanaeleweka Mkuu, labda wewe ndio huwaelewi.
Sifa Yao kuu ni Vigeugeu.
Ndio maana watu wanasema hawaeleweki lakini kueleweka kwao ni ugeugeu wao.
Nini kina sababisha wanawake kuwa vigeugeu