Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

Ni kweli manzi husema mwanaume haeleweki na huangukia katika hizo point hapo.
Ila ukiwa na Hela aaah hayo mengine ni Ziada
 
Mwanaume Usipokuwa ma hela automatically haueleweki

Maana hata wewe mwenyewe ukijitafakari vizuri huelewi
 
Back
Top Bottom