Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

Aisee mnanifurahisha sana nimeitumia hi thread kujenga hoja flan flan kwa my baby kanielewa vby mno
 
Inatakiwa iwe hvyo maana wakikuelewa tu umekwisha
 
Mwanamke ni kiumbe mvusho bila ngazi havuki bila mtumbwi havuki na ngazi ikiharibika havuki, acha wabaki ng'ambo yao, wakivuka tutawapata wakiwa ndani ya himaya zenu watoa lift na kivuli tupo
 
Kwa hiyo tumsaidiaje huyo mwanamke?
 
Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…