Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Wabakaji wengi wanakuwa wana Ukosefu wa Burudani Mwilini (UBUMWI)., Chukulia ww ni Mwanaume na wewe unaugua ugonjwa kama huo ukaja Kubakwa unatarajia nini?
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Bunduki..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Risasi..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.

HaHa haHaa haaHaahaaHaaa haHaaaa haaaaaa.
Ebhna hyo sio poa...!!!
 
Miaka ya nyuma wakat nasoma nilienda bar moja nkalewa naamka asbh nakuta nimelala na yule mhudumu mama mtu mzima...mpk leo naamini yale hayakuwa maamuzi yangu yule bibi alinibaka kbs
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Risasi..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.
Mkuu c kushikia risasi bali ni bunduki au bastola kwan risasi huwa ndani ya
 
Kubakwa sio lazima uwe unajielewa, inaweza kuwa kwa threats au uko intoxicated or unsound mind kiasi cha kushindwa kuwa na maamuzi
 
Sawa mkuu
 
Kuna waliobakwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…