Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Wabakaji wengi wanakuwa wana Ukosefu wa Burudani Mwilini (UBUMWI)., Chukulia ww ni Mwanaume na wewe unaugua ugonjwa kama huo ukaja Kubakwa unatarajia nini?
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Bunduki..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Risasi..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.

HaHa haHaa haaHaahaaHaaa haHaaaa haaaaaa.
Ebhna hyo sio poa...!!!
 
Miaka ya nyuma wakat nasoma nilienda bar moja nkalewa naamka asbh nakuta nimelala na yule mhudumu mama mtu mzima...mpk leo naamini yale hayakuwa maamuzi yangu yule bibi alinibaka kbs
 
Inawezekana Kubakwa..
Mwaka Flani Nyuma Kuna Story Nilisikia.. Bi Mkubwa Mmoja alikuwa anashikia Wanaume Risasi..Hapo Itasimama Tu na Utafanya Bila Ridhaa Yako.
Mkuu c kushikia risasi bali ni bunduki au bastola kwan risasi huwa ndani ya
 
Kubakwa sio lazima uwe unajielewa, inaweza kuwa kwa threats au uko intoxicated or unsound mind kiasi cha kushindwa kuwa na maamuzi
 
Ninachosema ni kwamba dawa kama Viagra, Cialis, au Levitra haziongezi hamu ya mwanamme kutaka kufanya tendo la ndoa.

Pia huwezi tu kupata erection kwa kumeza moja ya hizo dawa. Ili uweze kupata na ku maintain erection ni lazima kuwe na sexual stimulation. Unabisha?

So let's cut to the chase. Check this out....

A quote from viagra.com...

"VIAGRA is a prescription medicine used to treat erectile dysfunction (ED). You will not get an erection just by taking this medicine. VIAGRA helps a man with ED get and keep an erection only when he is sexually stimulated."Source

Another quote from cialis.com...
Sawa mkuu
 
kwa mtazamo wangu mwanaume hawezi bakwa, kwanza ni kazi kwa jamaa kusimama mahari amabapo hana hisia napo na kwa mjibu wa kubaka inatakiwa kuwe na penetration na n obvious ya mwanamke haiwez penetrate inayofanya hivo n ya mwanamme. kwahyo mwanamme hawezibakwa ila anaamua kufanya mapenzi bila dhamila yake. sema huyo jamaa aliamua tuu ajimegee mzigo
Kuna waliobakwa mkuu
 
Back
Top Bottom