Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

kwa sheria za tanzania mwanamme zaidi ya miaka 18 hawezi bakwa sababu kijiti kinasimama chenyewe.

Kwa under 18, hiyo ni ubakaji na anashtakiwa pna jamhuri

hata kwa mwanamke ubakaji ni hadi wahakiki kulikuwa na penetration kama ni above 18.
Kielelezo gani kitaonyesha kuwa PENETRATION ilikuwepo manake below 18yrs hata RISASI hazitoki?
Nimeanza kutoa risasi nikiwa 15 labda bwana ndugu ulikuwa na kasoro ama ulichelewa
 
Ni kweli, Mwanaume anaweza sana kubakwa na mwanamke.
Mwanamke anaweza kumfanya mbwembwe za kumsimamisha mtalimbo wa huyo jamaa na kujisevia kiulaini.

Hata mwanamke asipofanya bwembwe akikuvulia tu nguo!! hata kama hutaki kufirigisa mzee kipala ameshanyanyuka utasema inasens kw BLUETOOTH!!
She must be a video chick otherwise juhudi binafsi zinahitajika
 
Inategemeana na umri wa mwanaume,pia mazingira.
 
kubakana ni mojawapo ya style za ngono tu...lol
 
Kubaka, nahisi ni kufanya ngono na mtu bila ya ridhaa yake.
Je inapotekezea mwanamke amebakwa, lakini katika ya kitendo akasikia anafurahia penetration, huo si bado utakuwa ni ubakaji?
Kwa hivyo mwanamume anaweza kulazimishwa na mazingira kufanya hiyo akiwa hakutoa ridhaa yake, akafurahia tendo lenyewe, kwa sababu inasemwa kuwa "hakuna asiyefurahia (asiyejua ladha ya) utamu".
 
Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.

We acha kabisa,tafuta mwanasheria yeyote unayemfahamu atakachokwambia ni kwamba kwa sheria wanatambua kuwa mwanamke hana kibakio nadhan umenielewa...
 
Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.

Hamna kubakwa mzee! Laasivyo mshedede usingeinuka kaka! Ili mshedede uinuke lazma akili na mwili uwe umekubali matokeo and ready for the game!
 
Back
Top Bottom