Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Unamaanisha uliwahi kubaka au!
Yeah niliwahi kubaka au.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha uliwahi kubaka au!
Kwanini??
Thanks kwa kunielewa mkuu we are on the same page...@wilson Mwijage jarbu kusoma alchoandka The Finest... Yeye kaitafsir sheria bila kufungwa na maana ya moja kwa moja ya Rape kama ilvokwenye sheria ya makosa ya jinai. Ametoa maana pana zaidi kulingana pia na mazngra tuliyonayo sasa kwani awali wakat sheria hii inatungwa naamin jamii [wanawake] haikuwa kama leo hii ambapo wanawake wanapesa, aibu imepotea, na wanapgana kutokomeza ukuu aliokuwa kajiwekea mwanaume.
Nakaribisha maombi ya kubakwa..
....unapobakwa na huna namna nyingine ya kujiokoa, toa ushirikiano na ikibidi furahia!...la sivyo itamchukua mtuhumiwa muda mrefu kumaliza adhabu hiyo.
hahahahah....LOL..🙂
Nafikiri ukitoa ushirikiano huhitaji tena kusema kuwa umebakwa.....
Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.

Usiombe ubakwe na mwanamke...
Nilikuwa 13Nimeanza kutoa risasi nikiwa 15 labda bwana ndugu ulikuwa na kasoro ama ulichelewa
Mkuu kwa hii post yako inaonyesha wewe ni mtu ambae haufikirii kabla ya kutenda bali unakurupuka tu, Hivi unajua mwanaume aliye active hata tu kwa mawazo jamaa anasimama? Itakuwaje kwa mwanamke kukuchezea? Kama wamekutight fresh wakimchezea jamaa akisimama si watamtumia watakavyo au wewe siyo mwanaume? Hata kwa wanawake japo wanabakwa ili kune extent akifika au kuna shm ukimshika anafurahia japo haikuwa kwa hiyari yake
Mkuu wanakupa madawa ya kuongeza nguvu za kiume overdose. kisha wanakufunga na kukulaza chali. kitu kinasimama chenyewe kama nguzo. Mia