Hapa nina matamanio balaa...teh!
Shoga hongera kwa kutoka jela!
Kama mambo ni kuvumiliana basi na tuvumiliane tu.hata sisi tukichepuka ni matamanio tu mkuu kwahyo usihiofu sana !kawaida!hata sie yakitokea ya kutokea huwa upamde wa waume zetu !VUMILIENI TU
Hahahaaaa!!! Huwa wanafikiri hatutamani eti,tunatamani sana sema tunaheshimu ndoa zetu tu. Sema sasa shetani akituzidi nguvu ndio vile tena. Wawe waelewa tu kama ambavyo wanataka tuwaelewe. Maelewano ndio msingi wa maisha.Hapa nina matamanio balaa...teh!
Shoga hongera kwa kutoka jela!
Kama mambo ni kuvumiliana basi na tuvumiliane tu.
Hahahaaaa!!! Huwa wanafikiri hatutamani eti,tunatamani sana sema tunaheshimu ndoa zetu tu. Sema sasa shetani akituzidi nguvu ndio vile tena. Wawe waelewa tu kama ambavyo wanataka tuwaelewe. Maelewano ndio msingi wa maisha.
Kumbe ndio maana kila nikikusaka sikuoni, kumbe ulikuwa jela!! Pole sana mama.ahhaahha shouger jela ni noma !nimeshinda weekdn km mfiwa tena mjane !nasubiri Saint Ivuga aje hapa anieleze y ni;ipewa ban !nadhan mtongozo wake ulikua high class !lol!
bdw mie mwenyewe nina MATAMANIO KWELI KWELI !watulie tu
Kumbe ndio maana kila nikikusaka sikuoni, kumbe ulikuwa jela!! Pole sana mama.
Wanashindwa vipi kuvumilia kipindi cha mpito tu!! Wawe na mioyo ya kupondeka jamani. Wanafikiri tunapenda basiii, ni matamanio tu ndio yanatuzidi nguvu. Wawe wavumilivu jamani.hakika ni kipindi cha mpito tu hicho !nimecheka jaman na comments zako kila mtu ananianglia hahahah
Walikufanyaje tena!!teh teh jela toka ijumaa !@inna na Saint Ivuga sio kabisa aisee!
Wanashindwa vipi kuvumilia kipindi cha mpito tu!! Wawe na mioyo ya kupondeka jamani. Wanafikiri tunapenda basiii, ni matamanio tu ndio yanatuzidi nguvu. Wawe wavumilivu jamani.
Matamanio high class..wakae kimya maana sisi ndio solution ya matamanio yao. Tusipochepuka matamanio yao watayamalizia wapi?ahhaahha shouger jela ni noma !nimeshinda weekdn km mfiwa tena mjane !nasubiri Saint Ivuga aje hapa anieleze y ni;ipewa ban !nadhan mtongozo wake ulikua high class !lol!
bdw mie mwenyewe nina MATAMANIO KWELI KWELI !watulie tu
Walikufanyaje tena!!
Matamanio high class..wakae kimya maana sisi ndio solution ya matamanio yao. Tusipochepuka matamanio yao watayamalizia wapi?
Aaaah niacheeeeeeeeehaahahhaha !uwiii shoga unmeshalipuka wewe teh teh
Tunachepuka na ndoa zetu bado 'tunaziheshimu' ndio maana bado tuko nao. Ni vile tu tunafuata vile ambavyo hata wao huwa wanafuata huko nje. Wasiwe wachoyo jamani, kizuri unakula na nduguyo. Sasa wao wanataka wafaidi wao tu!! Roho mbaya hiyo, hivyo wawe tu waelewa.ahahahahahah nimecheka pale uliposema na sisi hatuhamii kwa michepuko na watoto mnalea hahaha!aisee ni kweli kbs !kwa uzi huu nadhan wataweka uvumilivu [HASHTAG]#mbele[/HASHTAG] kuliko [HASHTAG]#hasira[/HASHTAG]
Si ndio hapo sasa!! Tutamaniane tu na tumaliziane tu haya matamanio kisha kila mmoja akagangamare na ndoa yake.Matamanio high class..wakae kimya maana sisi ndio solution ya matamanio yao. Tusipochepuka matamanio yao watayamalizia wapi?
Aaaah niacheeeeeeeee
Kusaidiana ndio mpango mzimaSi ndio hapo sasa!! Tutamaniane tu na tumaliziane tu haya matamanio kisha kila mmoja akagangamare na ndoa yake.
Ha haaaaa chiz wewenakucha mama ![HASHTAG]#raha[/HASHTAG] yako ni raha yangu vile vile !jiachie !
Ooooh!!!i think ni uzi wa dk slaa kupata kazi supermakt !ivugaa akaanza yake bas tukawa km tunatongozana plus mkewe inna !lol !later naambiwa nimeandka jukwaa la siasa nje ya post nikahis ni [HASHTAG]#mitongozo[/HASHTAG] ya Saint Ivuga