Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #21
Mkuu watu hawafanani na imani hazifanani.. Ila hizo picha zako😂🙌🏿Kwahiyo kwa Muslim ni sawa ila kwa Christian aaah?!
Tumsifu Allah View attachment 3575223
Mkuu watu hawafanani na imani hazifanani.. Ila hizo picha zako😂🙌🏿Kwahiyo kwa Muslim ni sawa ila kwa Christian aaah?!
Tumsifu Allah View attachment 3575223
InshallahPork for everybody 😁
🤣🤣🤣 Sasa semegi kwani unataka kuoa tena?Mimi SITAKI🤬
Hali Halisi: Ingawa mila zina uzito, ndoa nyingi siku hizi zinafunga kwa makubaliano ya wanandoa, na mahari inaweza kuwa ishara tu badala ya sharti gumu la kisheria/kiroho la ndoa kubaki imara.Mahari mi naona ni kama utapeli tu just imagining unaambiwa;
koti la babu 1M
blanket la bibi 500k
kanga za mam 300k
suti ya baba 2M
Nimeandika hivi mwanzoni kabisa mwa mada..Je, mwanaume akilipa mahari ndo itafanya ndoa idumu?
na tukisema ndoa "imedumu" Je inatakiwa ifike miaka mingapi?
Pia, naongezea, Je vipi sisi baadhi ya watu wa Asia wale ambao mahari analipa mwanamke?
Au sisi hii kanuni haituhusu.
Sema kuna age flan mwanamke alifika hajaolewa waga anaingia wenge sana, hakawii kilipa mahali na kugharamia harusi. Wanawake wanapitia mengi sana kwenye maisha yao. 😁
Tatizo lililopo ni tafsiri tofauti tofauti ya neno Mahari kwa makabila mengi hapa Tanzania. Kuna makabila kanda ya Ziwa mfano usukumani, Mahari si anayeolewa ila anayeoza (anayetoa mtoto wake wa kike). Hii inageuka na kuwa kama fidia kwa kumtoa binti yake. Hivyo tukiwa tunajadili hili suala, tuwe waangalifu Mshana JrPamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama sehemu ya mkataba wa ndoa na ishara ya utayari wake wa kumtunza mke.
2.Haki ya Mwanamke: Mahari inachukuliwa kuwa haki ya mwanamke na ni mali yake binafsi, si ya wazazi wake wala mumewe.
3.Utambulisho wa Thamani: Kiroho, kitendo cha mwanamume kutoa mahari kinaashiria thamani na heshima anayopewa mwanamke katika kuingia kwenye agano la ndoa
Kwa maana hiyo basi mwanamke hawezi kujilipia mahari, kwa tafsiri nyepesi hawezi kujioa.. Anakosa ule muunganiko wa kiroho wa agano la ndoa! Kwamba agano limeanzia kwake na limeishia kwake
Wanawake wanaojipia mahari hawana tofauti na wale wanaojioa mitandaoni
Yaani kwa kukosa mwanaume (Sahihi ama la) eti anaamua kujioa mwenyewe😀 !!! Hivyo anatengeneza nguo yenye pande mbili, upande gauni harusi, upande suti
Anaamua kutengeneza nywele kichwani na make up usoni, upande kike upande kiume😀
Miguuni hivyo hivyo mguu mmoja kiatu cha kike mwingine cha kiume!
Sina hakika na nduo ya/za ndani😀
Mwanamke anayejilipia mahari hana tofauti na makuku ya mayai yasiyo na baba.. Yale mayai hayana kizazi kwakuwa hayana muunganiko wa kigenetic wa pande mbili..
Hivyo pamoja na wimbi kubwa la talaka humo ndani asilimia 99 ni talaka za ndoa za wanawake waliojipia mahari
Si mnawaonaga mitandaoni wale watu wanaotangaza kujizawadia vitu? Wote hao ni walewale
Mwanamke lipiwa mahali hats kama hutafanya sherehe kwakuwa hilo ndio tendo kuu la kiroho la agano la ndoa!
Mwisho
Mahari sio pesa ya kununua bidhaa! Hivyo huwa hailipwi yote! Wazazi na walezi wanaokomaa ilipwe yote tena kwa mamilioni hao ni wafanyabiashara wanaouza mali mbovu wenye uhakika itarudishwa muda si mrefu!
🤔Nimeandika hivi mwanzoni kabisa mwa mada..
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Ishu ya huko Asia ndio inaweza kukuthibitishia nguvu ya mahari. Always mlipaji ndio mwenye mamlaka .. Fuatilia mpaka China utaona
Mwanaume aliyelipiwa mahari anatakiwa kuishi nyumbani kwa wakwe yeye na mkewe at least mwaka mmoja
Huko atafanya kazi zote za nyumbani iwe kilimo, ufugaji biashara ama hata kazi za ndani hasa kupika na kupeleka watoto shule
Na watakapohama wakaenda kuanzisha biashara zao mwanamke ndio mwenye mamlaka na pesa zote! Fuatilia utaona
Tatizo ubahili shee!Si wewe na mdogo wako hamnitaki🥴
Hili la 'mahari ni mali ya mwanamke' ni tamaduni za kabila gani au dini gani na uhalisia wa jamii ya Tz upoje kwenye issue hii?Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii