Siwalaumu hata chembe.. Biashara ni matangazo..Mahari ni utaratibu wa zawadi kutoka kwa muoaji kwenda kwa wazazi wa binti, kama shukrani ya kumstiri vyema.
Lakini mjomba Mshana Jr, hatuoni hili suala limesha najisiwa kitambo?
sasa hivi kila binti ni tiktok, fb, ig, kurusha kalio, ulevi, kuswali mpaka nabii asikike.
wame geuka wajuvi wa style zote za kujunjana, guest hii sio nzuri twende ile, watoto kibao, sigara bhangi aisee.
Mbona za wahindi zinadumu?Maana wanawake wa kihindi ndiyo hutoa mahari.Kama principle wanayotumia hao jamaa inafanyakazi kwanini kwa wafrika isifanye kazi. Ndoa zinavunjika kwasababu lengo kubwa kuliko yote ni sexPamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama sehemu ya mkataba wa ndoa na ishara ya utayari wake wa kumtunza mke.
2.Haki ya Mwanamke: Mahari inachukuliwa kuwa haki ya mwanamke na ni mali yake binafsi, si ya wazazi wake wala mumewe.
3.Utambulisho wa Thamani: Kiroho, kitendo cha mwanamume kutoa mahari kinaashiria thamani na heshima anayopewa mwanamke katika kuingia kwenye agano la ndoa
Kwa maana hiyo basi mwanamke hawezi kujilipia mahari, kwa tafsiri nyepesi hawezi kujioa.. Anakosa ule muunganiko wa kiroho wa agano la ndoa! Kwamba agano limeanzia kwake na limeishia kwake
Wanawake wanaojipia mahari hawana tofauti na wale wanaojioa mitandaoni
Yaani kwa kukosa mwanaume (Sahihi ama la) eti anaamua kujioa mwenyewe😀 !!! Hivyo anatengeneza nguo yenye pande mbili, upande gauni harusi, upande suti
Anaamua kutengeneza nywele kichwani na make up usoni, upande kike upande kiume😀
Miguuni hivyo hivyo mguu mmoja kiatu cha kike mwingine cha kiume!
Sina hakika na nduo ya/za ndani😀
Mwanamke anayejilipia mahari hana tofauti na makuku ya mayai yasiyo na baba.. Yale mayai hayana kizazi kwakuwa hayana muunganiko wa kigenetic wa pande mbili..
Hivyo pamoja na wimbi kubwa la talaka humo ndani asilimia 99 ni talaka za ndoa za wanawake waliojipia mahari
Si mnawaonaga mitandaoni wale watu wanaotangaza kujizawadia vitu? Wote hao ni walewale
Mwanamke lipiwa mahali hats kama hutafanya sherehe kwakuwa hilo ndio tendo kuu la kiroho la agano la ndoa!
Mwisho
Mahari sio pesa ya kununua bidhaa! Hivyo huwa hailipwi yote! Wazazi na walezi wanaokomaa ilipwe yote tena kwa mamilioni hao ni wafanyabiashara wanaouza mali mbovu wenye uhakika itarudishwa muda si mrefu!
hao ndio wame fanya wanaume wame kuja na vigezo vyao.Siwalaumu hata chembe.. Biashara ni matangazo.. View attachment 3575321
Zinadumu kwakuwa mwanaume anakuwa chini ya mamlaka ya familia ya mwanamkeMbona za wahindi zinadumu?Maana wanawake wa kihindi ndiyo hutoa mahari.Kama principle wanayotumia hao jamaa inafanyakazi kwanini kwa wafrika isifanye kazi. Ndoa zinavunjika kwasababu lengo kubwa kuliko yote ni sex
Mazuri kwenye nguo tu. Slim curvy, petite ni 🔥
Muktadha wa mada ni ile hali yt udanganyifu unaofanywa na binti kwa kutoa pesa na kumpa mwanaume akamlipie mahari.. Hii haina utetezi kwenye hili..Kumpenda mtu nayo ni dhambi
Mim mwanamke Nina uwezo mwenzangu Hana na tunataka kufunga ndoa
Si mbaya kumsaidia sidhan kama utatoa yote nadhan na yeye atatoa pale alipojiweza
Kuna wazaz kwenye swala la mahar wanakua kama wanakomoa unamwambia mtu mahar milion 3 ukute ndo katoka familia yeye ndo Kila kitu kwamba wazaz hawawez msaidia na shughuli zake au kipato chake ni Mungu saidia na kupenda kapenda uwezo wa mahar Hana anaweza kua nao ila haufiki hicho kiasi naona mwanamke kumsaidia sio mbaya Sion ubaya hapo na inaonyesha mwanamke kaona uchumi wa mwenzake haujitoshelez wao kufunga ndoa
Sasa mkuu uislam ndiyo unarepresent tamaduni zetu sote?Uislam..!
Umejuaje?Sema kuna age flan mwanamke alifika hajaolewa waga anaingia wenge sana, hakawii kilipa mahali na kugharamia harusi. Wanawake wanapitia mengi sana kwenye maisha yao. 😁
Umejuaje?
Kwahivyo ulitaka kunitolea ngapi mkuu?Issue ya mahari imeshababisha single mama wengi sana mtaani, unakuta kijana na Binti walipendana vizuri kikwazo kinakuja kwa wazazi wa kike unaambiwa mahari million's 4,
Nyie shenzi nini
Au la sivyo mwanamke avumilie madharau yoteKwenye ndoa 26 zilizovunjika ndani na nje ya nchi
Heri nijizeekee kuliko kujitolea mahari!Sema kuna age flan mwanamke alifika hajaolewa waga anaingia wenge sana, hakawii kilipa mahali na kugharamia harusi. Wanawake wanapitia mengi sana kwenye maisha yao. 😁